Bajeti ya Serikali ni Mkadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha. Juni 14, 2022 Waziri wa Fedha na Mipango atasoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2022/23.
Bajeti husaidia...
Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe.
"Uenezaji...
Sasa hivi serikali ipo katika kampeni kubwa ya kuwahamisha maelfu ya wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Handeni.
Miaka ya nyuma pia kulikuwa na kampeni ya kuwataka wachaga wahamie Handeni kutoka...
Hii ni habari ya kusikitisha kwa Wakulima na hujuma kubwa toka kwa Mkuu wa Mkoa, mtu aliyetegemewa kuwasaidia wananchi sasa amekuwa mkandamizaji kwa wananchi.
Kwa takribani mwezi sasa kumekuwa na...
Kampuni ya ortello walipewa eneo la uwindaji loliondo mara ilipoingia awamu ya pili ya mzee ruksa.
Baada ya kupewa eneo hilo kampuni hiyo ya UAE yenye wamiliki toka familia ya kifalme tabia yao...
Leo Bungeni baada ya Waziri mkuu kuongelea video inayosambaa kwamba kuna mapigano yameanza Ngorongoro, Spika Tulia Ackson ametoa maoni yake na kutaka mhusika ashughulikiwe na taasisi...
Ujue kuna mambo mengine ya ajabu sana hasa kwa mtu anayetumia akili vizuri kutafakari mambo.
Juzi Rais Samia akiwa Kagera alihimiza kuhusu kichukua tahadhari zote za COVID-19 na akaenda mbali...
Raia wa Uholanzi zaidi ya 40 wameanzisha mbio za baiskeli kuzunguka mlima Kilimanjaro kilometa 400 kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia sekta ya afya nchini.
Mbio hizo za baiskeli zijulikanazo...
History inaweza kujirudia kwa chama cha wananchi CUF, Tafiti zinaonesha mabadiliko makubwa yameanza kuonekana baada Kutangazwa katibu Mkuu mpya Mohammed masoud.
Salaam wakuu,
Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo.
Kuna hizi picha mbili za Kisiasa.
Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais...
kinachoendelea Ngorongoro ni vita vya kiuchumi hivyo Watanzania tunapaswa kufungua macho kwa sababu siamini kama serikali itaonea ama itapenda kuumiza raia wake bila sababu ya msingi.
Kwa maana...
Salaam Wakuu,
Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitendo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao.
Kama mnavyojua, Peter alitembezwa...
Mzee Baraka Shamte, mwana CCM amewatuhumu viongozi kuacha uongozi na kufanya biashara kama wanataka utajiri.
Mzee Shamte ameongeza kuwa viongozi wa sasa hivi ndani ya CCM hawaijui CCM zaidi...
Yanayotokea leo hii kule Ngorongoro tayari mh Lissu alisha yasema bungeni kitambo.
Sema tu ni kwakuwa alikuwa anachukuliwa poa kisa ni mpinzani lkn kama serikali ingelifuata mawazo yake na...
Humphrey Polepole mimi nakuambia ukweli kabisa kwamba unahitajika uwanjani kuja kumalizana na hoja za CAG, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe.
Mbona mchezo huu kwako ni wakitoto tu na kwako unahitaji...
Ukweli ni kwamba kwenye hii nchi Kanda ya kaskazini inaongoza Kwa kuwa na rasilimali zenye kuingiza pesa za kigeni ... Sehemu popote ambapo mzungu anapapendelea automatically hapo kuna kisima cha...
Rais Mstaafu Mzee Mwinyi..' Yanayoendelea hapa katika Ujenzi wa hili Bwawa la Nyerere ni Maajabu makubwa Watanzania karibuni mjionee jinsi Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyokuwa kweli anatimiza...
Wakati Botswana inapata uhuru mwaka 1965 haikuwa na sekta ya utalii kabisa, hakukuwa na mbuga rasmi au hifadhi za serikali. Miaka 60 baadaye nchi ambayoo sehemu yake kubwa ni jangwa la Kalahari...