Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msemaji wa serikali ya ccm Leo amesema amefurahishwa sana kuona Media zipo kimya kwani kinachoendela kule ni propaganda tu. Baada ya hapo wanahabari wamepiga makofi kwa shangwe nakusema hawapo...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Chadema ni Taasisi kubwa nchini,Je! hamfahamu kwamba, Oman[emoji1190] na UAE [emoji1256] ni nchi mbili tofauti. Mnapaswa kuonesha ukomavu wenu kwa kutoa taarifa sahihi na zenye kuonyesha Weledi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo. Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais...
20 Reactions
129 Replies
12K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi ya wapinzani wakishutumu vyombo vya habari kwa kukwepa kutoa habari za Loliondo haswa zinazohusu upande wa Wamasai. Lakini cha ajabu zaidi ni gazeti la Mwenyekiti wa...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Kitu cha kwanza walichokifanya wakoloni walipokuja kwetu ni kutuambia kuwa kila kitu chetu hakifai, ni duni, ni uchenzi. Hii ikasababisha watu wabadilishe hata namna ya kuvaa, kuchana nywele...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika 1 Rwanda 🇷🇼: Kaya za Rwanda hulipa wastani wa $0.26 kwa kila saa ya kilowati ya umeme, hii itatafsiri kuwa $6.24 kwa siku na...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Mbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na siku hiyo hiyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakuwa Omani na siku hiyo hiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu. Mbowe, Rais Samia anajua wewe...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?
8 Reactions
53 Replies
5K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii mh Chana amesema mpya wa Wamasai wa Handeni umekamilika na familia 100 za kwanza kutoka Ngorongoro zitapokelewa Chana amesema Nyumba, Shule na Majosho yamekamilika...
5 Reactions
71 Replies
7K Views
Tunapozungumzia suala la Ngorongoro kwa hisia tukumbuke wapo wamasai walishaondoka kitambo na wanaishi maisha mazuri tu mjini. Hata mashuka walishaacha kuvaa. Wapo wengi ni walinzi na wasusi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022. Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri Masauni amesema kabisa kuwa sasa nchi ina amani ya kutosha kabisa. Akawataka walioikimbia nchi sasa warudi nyumbani ili wainenge nchi yao.HONGERA SANA MH MASAUNI. Hii inaonyesha kweli...
17 Reactions
136 Replies
7K Views
Bunge huru hutunga sheria huru na Mahakama huru hutafsiri hizo sheria bila kuingiliwa na mhimili wowote, kuhakikisha sio kandamizi kwa Raia na zinatumika katika maono mapana ya taifa kwa ujumla...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Ukiangalia mfumo wa uongozi wa awamu ya sita na nne vinafanana sana. (Makusanyo hafifu ya kodi na gharama kubwa za maisha kwa wananchi kwa manufaa ya wafanaya biashara, huduma mbovu za sekta ya...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Ilikuwa ni kawaida ya kila baada ya wiki mbili wanaita press, mwigulu na genge lake la tamisemi wakijimwambafai kuwa kila senti itaenda kunakostahili na wakasema kuwa kila baada ya wiki mbili...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania Rais Samia amewahakikishia wa Oman mazingira mazuri ya biashara kuwa na sera thabiti...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mongella amesema Picha zinazorushwa mitandaoni siyo za leo ni za miaka mitatu iliyopita Picha hizo zinaonyesha Watu wenye majeraha wakidaiwa wamepigwa Loliondo Mongella...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Na John Mwakanga, Mbeya Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
1. Je, kuna hatua ngapi katika kusajili chama? Ndio, kuna hatua mbili. Usajili wa muda na usajili wa kudumu. 2. Je, ni nini kinahitajika ili kupata usajili wa muda? • Wanzilishi wawili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…