Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!.
NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!.
Mikutano ya CHADEMA ni mikutano...
Wakuu
Huenda hizi amsha amsha za CHADEMA huko mikoani ndizo zilizomtoa Msajili wa vyama vya siasa kuja kusema chochote kitu? Au kuna kaupenyo kanatafutwa hapa.
====
Yah: MWITO KWA VYAMA VYA...
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Devotha Minja, amesema wanawake wengi nchini wanaishi maisha ya huzuni kutokana na mikopo inayowadhoofisha kiuchumi na kihisia...
Nimeota ndoto ya No election no reform na G55.
Sina uchama ila ni mtu wa maombi na nilisikitika Sana kuona mpasuko ndani ya chama Cha chadema. Nilichoonyeshwa ni kama ifuatavyo
1. Walio nyuma na...
Sina maneno mengi lakini kinchoonekan kwenye video hii ni ushidi tosha.
Watoto, watu wazima ni wazee ni furaha tele isiyo na kifani.
Kuna wimbo wanaimba umew hamasa na munkali😅😅
Kupata matukio...
Wakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa...
Nina uhakika wa Mungu unajua fika kuwa jeshi la polisi linalalamikiwa sana kuliko miaka yote tangu Tanganyika iwepo duniani.
Mauji ya wananchi, kuonea wananchi and many many other atrocities...
Uongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini umemkabidhi Fomu ya Ubunge Lushona Mathias mkazi na Mzaliwa wa wilaya ya Chato ili kwenda kupeperusha Bendera ya chama hicho huku akiahidi...
MIRADI WA KUPOZA UMEME NYAKANAZI KILOVOLT 220 HADI 440
Usione miradi mikubwa inafanyika ukadhania hata wewe ungekuwa mbunge ingekuwa tu ni mpambano haswaa, ni kuzunguka kona za wizara na maswali...
Mi nashindwa kuelewa rais anapata wapi pesa za kugawa kwa marafiki, jamaa, viongozi wa dini, wasanii, na machawa wake
Nasema hivyo kwasababu niliona juzi kamnunulia kiongozi wa dini moja hivi...
Chama cha Mapinduzi CCM kinaitakia kila la heri timu ya Simba katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho "Rais Samia ana mchango kwa Simba kufika fainali kupitia hamasa ya goli la mama" -Amos...
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza asimulia habari za watekaji.
Ameelezea namna walivyo mfuatilia ili kumteka.
Amesema haya mbele ya Mkurugenzi wa usalama wa...
Kadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari.
Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao...
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya...
Wakuu,
Nadhani at this point CHAUMMA ingehairisha mikutano yake ikajipange upya.
Ni aibu sana mpaka wananchi wanafikia point ya kuwazomea mikutanoni.
Yaani machoni mwa wananchi hiki chama...
Kwani walikuwa awajui kwamba kuna wanachama wao wameanza kampeni? Lakini mbona kama njia zao maana tumeshuhudia baadhi ya viongozi wakubwa nao wakijipigia kampeni mapema!
================
Chama...
Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea...
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu...
Mchungaji mstaafu wa kanisa la kiinjili la kilutheri( KKKT) nchini Mchungaji Richard Hananja amechukizwa na kauli ya Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe ya kumwita Mbunge huyo wa kinondoni...
Na: Mwananchi Mzalendo
Tarehe: 27 Mei 2025
Siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita (24 May 2025), Askofu Josephat Gwajima—Mbunge wa Kawe na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM—alizungumza na waandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.