Kadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari.
Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki. Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM wilaya fulani hivi naye anailalamikia CCM yake hasa kwa kutokutenda haki. Siku ya kulipuka hili bomu la chuki dhidi yetu zimekaribia sana. Mwaka huu mpaka kufikia Oktoba mwishoni sijuiiiiii!