Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wakati akichangia Mada ya Nani anafaa kwa Urais wa JMT-2025. Kati ya MBOWE ,Lissu na Zitto Hii ilikuwa huko Club House jana. Nimemnukuu Sehemu ya Maelezo Yake...neno kwa neno... Msigwa: Urais...
13 Reactions
62 Replies
5K Views
Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea...
18 Reactions
59 Replies
4K Views
Wanaukumbi. Serikali yetu imefanya kwa nia nzuri kulinda mipaka yetu kwa kufanya zoezi la kuweka mipaka ya Nguzo kwenye maeneo yote Loliondo. Kuna wanaharakati njaa wanadai kuwa hamna Wamasai wa...
1 Reactions
6 Replies
703 Views
Jamaa ni mjivuni hasa na ni mtu wa nyodo! Bahati mbaya sana kwa wasiomtambua kwa undani hu-fake kwao eti ni mtu asiye na mawaa na ni mtu wa watu jambo ambalo si kweli alivyo. Kwa dharau zake...
2 Reactions
4 Replies
755 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kitengo cha Ukaguzi wa Ndani bado hakiko vizuri na ndio sababu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hukutana na matatizo mengi Amesema baadhi ya wakaguzi wa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri Ndaki na katibu(mifugo) Bw. Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo. kutoka kwa Vet Surgeon Habari Mh. Mashimba Ndaki , pole na...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation - Zanzibar Rais ahuzunika kwa kufeli sana kwa mkoa anaotokea, Kusini Unguja. Rais Samia azungumzia ubovu...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Nauliza tu; Je, miaka ya nyuma bajeti ya serikali ilikuwa inafikaje bungeni ili isomwe? Rais wetu Mama Samia, kweli umeruhusu matumizi haya yafanyike? Sent from my SM-J600F using JamiiForums...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
"Waziri aseme watakaolipa kodi ni wale wenye uwezo, miaka haina maana, hapo unaweza ukaleta crisis ya bure tu watu wataanza kusema wana miaka 17 sababu ikifika 18 watafikiri utadaiwa, vijana wetu...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Dodoma. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemcharukia Waziri wa zamani wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ambapo amesema ni hatari kwa mbunge wa muda mrefu kuupotosha umma. Mpina wakati akichangia...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Kila kitu holela, bidhaa aina zote bei juu na ni ndani ya muda mchache sana, serikali imeshindwa kazi, ijiuzulu. Mwaka jana pamoja na kovidi kutisha kwa kiwango cha hali ya juu hatukuwa na...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakati waziri wa fedha anawasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka 2022/2023 alipendekeza kama njia ya kubana matumizi kuwa mtu akitenguliwa kwenye nafasi ya uteuzi na akarudia nafasi yake ya awali...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbunge Deodatus Mwanyika (Njombe) amesema inaonekana hakuna Mkakati wowote katika Mradi huo wa Makaa Ya Mawe unaotajwa kuwa wa kimkakati, kwani hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusu mazungumzo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh.Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga...
9 Reactions
125 Replies
10K Views
Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo...
11 Reactions
85 Replies
7K Views
Ni muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya...
16 Reactions
211 Replies
13K Views
Mbunge Musukuma sisi wakazi wa kanda ya ziwa hatukukutuma na hatujawahi kukuchagua kuwa msemaji wetu kwa jambo lolote. Sisi wazee na watu wa kanda ya ziwa hatukukutuma kusema hayo unayoita mapigo...
26 Reactions
63 Replies
9K Views
Mwanafunzi bora Chato, shule bora Chato, uwanja pekee inatua ndege mara 2 kwa mwaka Chato, wilaya pekee imepelekewa pesa za elimu Chato, Wilaya pekee ina taa za kuongozea Ng’ombe barabarani Chato...
28 Reactions
126 Replies
16K Views
Dr Kigwangalla amesema ili kukabiliana na changamoto za vita ya Ukraine Serikali ni lazima Iendelee kukopa ili kuwanusuru wananchi masikini waliokwama Kigwangalla ameipongeza Serikali kwa kukopa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunakumbushana tu Hali ngumu ya sasa inasababishwa na Watu kutokuwa na Fedha mifukoni "Mkinichagua nitawajaza pesa mifukoni" alisema yule Mzee Cheyo wa Usukumani Baada ya Vita ya Kagera bidhaa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…