Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi siwaelewi chadema kabisa na watanzania wanaoshabikia hili Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA walitangaza kutokubali matokeo na kuamua kususia kila kitu kilichotokana na uchaguzi huo kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini, Kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali hususani DEDs wa Halmashauri za Wilaya, Mameneja, Wakurugenzi, nk kufanya manunuzi mapya kwa pesa taslimu hasa kipondi hiki cha mwezi Juni huku...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Hii ilikua 2020 wakati wa kampeni za urais wabunge na madiwani pale Tunduma. Ilikua hivi, wakati ngambo tu pale, hatua chache toka alipokua anafanyia kampeni pale kwenye mji wa nakonde pana maji...
21 Reactions
56 Replies
3K Views
Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kesi kubwa kama ya akina Halima Mdee na wenzake haikutegemewa kumalizwa katika hatua za Mapingamizi Au ndio matunda ya Maridhiano?
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Mjadala wa Katiba umekuwa ni suala la muda mrefu sana na watanzania walio wengi wanalichukulia ili suala kimasihara masihara lakini ukweli ni kwamba tukiendelea na hii Katiba muda si mrefu...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini...
31 Reactions
71 Replies
7K Views
Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
She lacks authority in her voice. When addressing the nation, her utterances in low tone are frequently interrupted by convulsive coughing. This is a sign of nervousness, weakness and lack of...
13 Reactions
65 Replies
5K Views
MAMBO 10 YANAYOWEZA KUFANYA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUPEWA TUZO YA NOBEL Wataalam wa mambo tunajua kuna vigezo vingi vinavyozingatiwa ili kutolewa tuzo ya Amani ya Nobel. Yanayowekwa hapa ni...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Wananchi hawana mbadala wa kuipachikia CCM ila ukweli ni kuwa hawaitaki tena. Sio wazee wala vijana. Tozo, ufisadi upendeleo umekithiri ndani ya CCM huku raia wakiwa hoi kimaisha. ACT Wazalendo...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kikao cha Baraza Kuu la Chadema kinachoendelea Mlimani City kimetokewa na JAMBO KUBWA ndani yake , baada ya Chama hicho kutambua Mchango wa Mawakili wa Chama hicho wanaojitolea Kufa na Kupona...
19 Reactions
38 Replies
3K Views
1. 0 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, awali ya yote nimshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha ya wazazi wangu na pia nichukue nafasi hii kuwashukuru sana waheshimiwa wabunge, Chama cha Mapinduzi...
7 Reactions
10 Replies
4K Views
CHADEMA kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni...
24 Reactions
108 Replies
9K Views
Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS) ni jumuiya ya wanataaluma wa sheria wa Tanzania Bara iliyoanzishwa kwa sheria ya Bunge Namba 307 ya mwaka 1954. Kazi kuu ya jumuiya hii ni pamoja na kutetea...
13 Reactions
16 Replies
4K Views
Lengo la thread hii ni kutambua mchango wa wakili msomi Peter Kibatala kiukwel anafanya kazi nzuri sana katika mapambano ya haki na utawala wa sheria hapa kwetu Tanzania Hivo ningependa muungane...
14 Reactions
25 Replies
4K Views
Ulikuwa umejijengea heshima ndani na nje ya nchi, ndani na nje ya bunge, tambua nguvu na heshima yako ilijengwa na sapoti ya wananchi waliokuzunguka hasa wanachama na viongozi wenzako wa Chadema...
23 Reactions
208 Replies
16K Views
Kamati Kuu ya Chadema imewapa siku 30 Wabunge wa Viti maalumu waliovuliwa uanachama za kuomba radhi. Huu ni muda mwafaka kwao wa kutulia na kutafakari kwa kina kilichotokea, wasiharakishe kutoa...
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni? Jishushe, bado naiona future yako ndani ya...
12 Reactions
16 Replies
1K Views
Mgogoro wa Loliondo ni tofauti na Mgogro uliopo ndani ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Salome Makamba yeye anaona ni moja. Hajui kutofautisha. Sendeka alichangia kuhusu mapori...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…