Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida...
5 Reactions
139 Replies
17K Views
Mbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali. Halima Mdee ametoa...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
RAIS amateua mwenyekiti wa BOARD ya NBAA (T) NI karibia miezi 2 sasa. ILA MWIGULU hajateua Wajumbe mpaka sasa swali wake mwingulu ni dharau kwa mamlaka za uteuzi au anasubiria mpaka...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani Lengo la Chadema watatuingiza...
35 Reactions
77 Replies
7K Views
Niwasalimu kwa jina la JMT.. Kuna dalili na kelele za watu hususani wapinzani uchwara kutaka Serikali ya Mseto kwa visingizio vya eti kuponya Nchi na kuleta maridhiano.. Binafsi siungi mkono kwa...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Nimeipenda hii ya kuviweka kisheria Viwango vya kodi za Mabasi na Malori Hongera sana Dkt. Mwigullu Nchemba Sasa weka utaratibu tuwe tunalipa kwa Mtandao wa simu hakuna haja ya kwenda TRA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi hawa wabunge waliofukuzwa na CHADEMA wakifukuzwa bungeni na kuingia wengine 19 ,Taifa kama Taifa tunafaikaje ? Hivi Nguvu na akili tunazopeleka huko kwa hawa wabunge hatuwezi tumia kujadili...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Huu ni kama mchezo wa kutegeana na tulipofika ni Spika Tulia ndiye anapaswa kufanya maamuzi 1. Halima Mdee na wenzake walifungua kesi kupinga wao kuvuliwa uanachama 2. Jaji katupilia mbali ile...
31 Reactions
77 Replies
7K Views
Rais Samia amesema Mama Mkapa ndiye aliyemshawishi na kumtoa moyo aingie kwenye Siasa na alimtabiria mazuri mengi Rais Samia alikuwa aliongea kwenye sherehe za miaka 25 ya mfuko wa Fursa Sawa...
1 Reactions
3 Replies
934 Views
Ni mara yangu ya kwanza kwenye hili jukwaa la siasa, sikutegemea kama ipo siku ntaingia huku, ila inabidi ukweli usemwe! Naona suala zima la madhambi yanayofanywa na viongozi walioteuliwa na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu wakati tukiianza jumatatu njema kabisa kwa kuchapa kazi mahala popote tulipo napnenda kudokeza hili swala. Kumezuka mlipuko, naweza kusema mlipuko wa habari na vichwa vya habari za...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake. Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM. -Ndugai, Membe...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari JF, Hivi kama watu, hasa vijana hampigi kura nini mnategemea? Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 watanzania waliojiandikisha kupiga Kura ni milioni 29.8 , lakini ambao hawakupiga kura ni milioni...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Wanabodi Salaam. Kwa haya yanayoendelea kutokea nchini kwetu hivi sasa, ni dhahiri CCM na taasisi zake wamechoka kuiongoza hii nchi, taifa letu limekuwa la hovyo kabisa. Ajabu sana, siku hizi...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
SIRI IMEFICHUKA! Kumbe vile vibanda vya wajasiriamali (Wamachinga) katika Soko Kuu la Chifu Kingalu vilivyojengwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando kwa kushirikiana na benki fulani...
20 Reactions
144 Replies
10K Views
Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa. Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Ndugu za wanaJamiiForums, nimepata taarifa leo hii kwamba kumbe CWT ambacho kimekuwa chama cha walimu kwa muda mrefu sasa kimepata chama mwenza ambacho ni chama cha CHAKUHAWATA. Taarifa hii...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mbunge wa CHADEMAmh Halima Mdee amekitaka serikali kuondoa Vat kwenye huduma za ndege za utalii ili kuvutia watalii Halima Mdee ambaye muda wote alikuwa alisha giliwa na Bunge zima amesema Rais...
1 Reactions
8 Replies
890 Views
KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…