Kesi iliyofunguliwa na Chadema Mahakama ya Dodoma dhidi ya IGP , AG na RPC wa Dodoma , ambao wanatuhumiwa kula njama ya kusigina katiba ya nchi , kwa kuamua kumkamata na kumshikilia Katibu Mwenezi...
Kuna trend ya wahuni kutaka marudio ya kubinafsisha mali na mashirika ya taifa halafu wanakula dili na wawekezaji feki kupora mali za umma kama walivyofanya awamu ya Mkapa.
Mama wengi...
Tutaendelea kusema hata kama hakuna hatua lakini wizara ya maji ni wezi na viongozi wa wizara ndo vinara wa wizi.
Waziri Aweso na katibu mkuu wake ni wezi wa pesa za wizara kwa kushirikiana na...
Hakuna asiyejua kuwa wabunge 19 wa viti maalumu wasio na chama bungeni mpango mzima uliratibiwa na CCM na tume ya uchaguzi Bunge na Serikali ili kutengeneza kambi ya upinzani ili kuwahadaa...
Wandugu hali ya maisha ni tete, tuna aangaika huku na kule hakuna pa kukimbilia
- Wazee waliokuwa wanalipwa na TASSAF, sasa inabidi wafanye kazi za kujitolea katika maeneo ya umma kwenye...
Hali ni mbaya katika hospital za serikali,
Huduma ni za taabu sana, Jamani, binadamu kukaguliwa na homa, ni hali ya kawaida, Ila Inapotokea hali hiyo mtu umekaguliwa, basi angalau ukutane na...
Nina wasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivi karibuni kumeibuka, watu wa hovyo wanaowashambulia ndugu zetu mh. Mchungaji Msigwa mbuge mtaafu wa iringa mjini na mwanasheria...
Naona ameanza Kuwa na Kibesi.
Amekuwa akisafiri sana na anadai kwamba safari zake za nje ya Nchi Ndizo Zinazoleta Fedha za Kujenga Miradi Kwenye Mikoa.
Kwanini Ang'ake Sana Na Kuita Watu...
Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo
▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na...
Nimeona comment huku kuwa vichwa vya trenI vipya vitakuwa tayari 2023, hivyo tutaanza na vilivyotumika kwanza.
Hii reli tumejenga miaka mitano kwa pesa ndefu kusubiri mwaka mmoja sio shida mama...
Kuna waraka umetolewa na Wizara ya Afya, ukitoa taarifa kwamba kuanzia tarehe 01 Juni 2022 hatua kwa hatua kutasitishwa matumizi ya form 2c. Form 2c ni fomu inayotumika na hospitali zinazohudumia...
Wakuu,
Kama swali lilivyo, majibu tafadhali.
Nianze mimi Binafsi!
"Nitahakikisha rasilimali za Watanzania zinawanufaisha Moja KWA moja! Hadi Sasa hakuna manufaa ya Moja kwa Moja ya uwekezaji wa...
Kulitokea suala la Umeme tukaambiwa na wajuzi wa Mambo kwa ilikuwa ni matter of time bomu hilo kulipuka kwa hiyo shida kutokea ni matatizo ya Awamu ya Tano.
Kukatokea suala la ugumu wa Maisha na...
UVCCM_ TAIFA
JULAI 05, 2022
UONGOZI WENYE MAONO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Mhe. Rais SAMIA SULUHU HASSAN inaendelea kukuza mahusiano yenye tija na nchi ya Oman, na hii...
Hivi karibuni maneno mengi Sana yameibuka hasa baada ya kuanza mazungumzo ya maridhiano na Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hasani.
Wapo wanaodai umelambishwa asali ya ikulu na umeridhia...
Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda sana na kuwavumilia Chadema vinginevyo mh Mutungi angekifutilia mbali.
CHADEMA na viongozi wenu msipofuata agizo la mwenyekiti Mbowe kwamba muache Mihemuko...
Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano...
..msimamo wa Othman Masoud ulianzia ndani ya kamati ya uandishi ktk bunge la katiba.
..Othman Masoud anadai alikataa kuburuzwa na Andrew Chenge hivyo akaamua kutokuendelea kuwa ktk kamati hiyo...