Shabani Ajaha
Member
- Aug 18, 2021
- 78
- 60
UVCCM_ TAIFA
JULAI 05, 2022
UONGOZI WENYE MAONO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Mhe. Rais SAMIA SULUHU HASSAN inaendelea kukuza mahusiano yenye tija na nchi ya Oman, na hii ni baada ya Ziara yenye mafanikio iliyofanywa na Mhe. Rais wetu Samia suluhu Hassan.
Serikali ya awamu ya Sita imefungua milango ya uwekezaji wa Tanzania na Oman, ambapo mwaka 2020 uwekezaji baina ya nchi hizo ulikuwa kiasi cha Billioni 97 na kufikia mwaka 2021 uwekezaji ukafika kiasi cha Shilingi Bilioni 163.
Kila Mwaka raia wa Oman takribani 25,000 hutembelea Tanzania katika shughuli za kibiashara na Watanzania takribani 30,000 wanafanya kazi mbalimbali nchini Oman ikiwemo Ualimu,TEHAMA na Uhandisi.
[emoji625]DIPLOMASIA: TANZANIA NA OMAN MILANGO IMEFUNGUKA.
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee