Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,587
- 217,977
Kesi iliyofunguliwa na Chadema Mahakama ya Dodoma dhidi ya IGP , AG na RPC wa Dodoma , ambao wanatuhumiwa kula njama ya kusigina katiba ya nchi , kwa kuamua kumkamata na kumshikilia Katibu Mwenezi wa Bavicha Twaha Mwaipaya kinyume cha sheria , imeahirishwa hadi 11/7/2022 baada ya washitakiwa wote wala mawakili wao kutoonekana Mahakamani .
Jaji ameona haingekuwa vema kusikiliza shauri hilo kwa upande mmoja (haifahamiki kifungu alichokitumia kuwaokoa washitakiwa hao amekitoa ibara ipi)
Chadema imepeleka shauri hilo mahakamani kulazimisha Mwaipaya atolewe mafichoni na ashitakiwe ama aachiwe huru .