Hataki kuambiwa ukweli kwamba anasafiri sana?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,285
Naona ameanza Kuwa na Kibesi.

Amekuwa akisafiri sana na anadai kwamba safari zake za nje ya Nchi Ndizo Zinazoleta Fedha za Kujenga Miradi Kwenye Mikoa.

Kwanini Ang'ake Sana Na Kuita Watu Wanaomwambia Anasafiri Sana Eti Hawana Akili Ya Kawaida.

Katika Awamu ambayo Watu Wanapiga Hela Ni Awamu Hii, Watu Wamekuwa Na Kiburi, Huduma za Kijamii zimedorora.

Erick Kakomba 2bn Hapo Bandari za Wachina Kaja juu Kamwondosha Wakati Yeye ndio aliwaambia Wale Kwa Urefu Wa Kamba Yao.
 
Anajinasibu eti Miradi yote ya mtangulizi wake anaiendekeza, Kuna Mradi Wa ujenzi Wa barabara Hapa Dom ulikuwa ni Kwa Ajili ya maroli, amegoma Kuendelea Watu wamefuta X Kwenye Nyumba zao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
nimemkubali Vasco da Gama just "nusu" amenikosha sana kwa SGR deal nimesikia raha kwakweli ila sikusikia kabisa akisema kuhusu Nyerere Dam na hawa ni kurwa na doto. why?

Bimkubwa atafeli sana bila Nyerere Dam kukamilika haraka. Majizi ya nchi hii hayataki hizo miradi miwili na ndio injini ya uchumi wa viwanda wa hayati Magufuli

Hivi hawa viongozi hawamuogopi Mungu? hawaamini kuwa watadedi na kuna moto ambao wao ndio watatangulizwa then tufuate sisi maana raia ni maskini kodi zao zinanunua magari ya serikali badala ya dawa za kuwatibu.

Ukuaji wa uchumi wetu Tanzania umeshuka sana na kudorora kabisa kutoka 7 hadi 4 ni mbaya sana siasa zimezidi utendaji zero tumeachwa mbali mno na Rwanda, Eritrea, Kenya, Ethiopia na Zimbabwe, hivi hizo nchi zina nini cha ajabu kuizidi Tanzania zaidi ya ukame tu? Je Marais wake wanasafiri nje kufungua nchi kwa spidi kama yake? soma data hapa chini.

Bimkubwa has to do something kwa watendaji wake!! Aongeze ukali asiishie bandarini asafishe na cabinet! Awape mawaziri wote targets na performance indicators na time frame mpya anaeshindwa amtoe haraka maana watamuangusha! Awaambie waache kumsifia wafanye kazi!

Binafsi nitafurahi akiwin zaidi ya sasa naamini Bimkubwa yuko vizuri sana upstairs but she has to use all her intelligence. I believe she can do better akiamua liwalo na liwe na kutowaonea huruma wasaidizi wake!

nimemkubali Vasco da Gama just "nusu" amenikosha sana kwa SGR deal nimesikia raha kwakweli ila sikusikia kabisa akisema kuhusu Nyerere Dam na hawa ni kurwa na doto. why?

Bimkubwa atafeli sana bila Nyerere Dam kukamilika haraka. Majizi ya nchi hii hayataki hizo miradi miwili na ndio injini ya uchumi wa viwanda wa hayati Magufuli

Hivi hawa viongozi hawamuogopi Mungu? hawaamini kuwa watadedi na kuna moto ambao wao ndio watatangulizwa then tufuate sisi maana raia ni maskini kodi zao zinanunua magari ya serikali badala ya dawa za kuwatibu.
Wanaotokea ukanda huo na Wenye Akili ni wachache sana
 
Sisi wananchi kwa akili za kawaida kabisa tunaona safari za Rais nje ya nchi hazina manufaa kabisa.

Tunaona mikataba tu inasaidia with zero impact.

Kwakweli tumeona picha nyiingi akiwa nje ya nchi ila bado hatujaona manufaa yake.
 
Mkuu huwaoni watalii wamefurika ala Chuga ?
 
Bado mpo! Wafuasi wa matendo ya mwendazake. Kila mtu ana hulka yake.

Jiwe hali yake ya afya na udhaifu katika kuongea English kulimzuia kusafiri
 
Sisi wananchi kwa akili za kawaida kabisa tunaona safari za Rais nje ya nchi hazina manufaa kabisa.

Tunaona mikataba tu inasaidia with zero impact.

Kwakweli tumeona picha nyiingi akiwa nje ya nchi ila bado hatujaona manufaa yake.
New Yorker magazine waliwahi Kusema KwaMba yeye ndio alijipendekeza Kuwaambia Wazungu KwaMba atawapa Wanyama Hai
 
Bado mpo! Wafuasi wa matendo ya mwendazake. Kila mtu ana hulka yake.

Jiwe hali yake ya afya na udhaifu katika kuongea English kulimzuia kusafiri
Sasa Huyo Wa Kwenu ana English Gani?
 
nimemkubali Vasco da Gama just "nusu" amenikosha sana kwa SGR deal nimesikia raha kwakweli ila sikusikia kabisa akisema kuhusu Nyerere Dam na hawa ni kurwa na doto. why?

Bimkubwa atafeli sana bila Nyerere Dam kukamilika haraka. Majizi ya nchi hii hayataki hizo miradi miwili na ndio injini ya uchumi wa viwanda wa hayati Magufuli

Hivi hawa viongozi hawamuogopi Mungu? hawaamini kuwa watadedi na kuna moto ambao wao ndio watatangulizwa then tufuate sisi maana raia ni maskini kodi zao zinanunua magari ya serikali badala ya dawa za kuwatibu.
LNG imekuja kuua mradi wa Nyerere Dam, na hiyo ndio sababu ya kuondolewa Kalemani akawekwa Makamba.
 
Dah! Huyu Mama mbona kumpigania inataka kuwa kazi ngumu kidogo!!! Nakumbuka JK aliwahi toa kauli kama hii. Mnnhh!!
 
Naona ameanza Kuwa na Kibesi.

Amekuwa akisafiri sana na anadai kwamba safari zake za nje ya Nchi Ndizo Zinazoleta Fedha za Kujenga Miradi Kwenye Mikoa.

Kwa Nini Ang'ake Sana Na Kuita Watu Wanaomwambia Anasafiri Sana Eti Hawana Akili Ya Kawaida.

Katika Awamu ambayo Watu Wanapiga Hela Ni Awamu Hii, Watu Wamekuwa Na Kiburi, Huduma za Kijamii zimedorora.

Erick Kakomba 2bn Hapo Bandari za Wachina Kaja juu Kamwondosha Wakati Yeye ndio aliwaambia Wale Kwa Urefu Wa Kamba Yao.
Inasikitisha sana..wabongo ni kama kioo ukiwachekea na wao wanakuchekea..ukiwakazia na wao wanakaza..

Sasa yeye anacheka nao tunaoumia ni wanachi ambao pamoja na kukamuliwa ipasavyo bado hatuoni maendeleo wala unafuu wa maisha.

Yeye aendelee kuzurura tu mana wengine walishalambwa miguu na mbwa...hivyo hawezi tulia ndani kutwa kikuguu na njia.

Ila atambue akiondoa wahuni wanajipigia wawezavyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bado mpo! Wafuasi wa matendo ya mwendazake. Kila mtu ana hulka yake.

Jiwe hali yake ya afya na udhaifu katika kuongea English kulimzuia kusafiri
Ndio akili yenu imeishia hapo? Rais wa china katembea karibu nchi zote duniani, umewahi kumsikia akiongea English? Rais wa russia je? Chancellor wa Germany?

Nyie watoto, muwe mnajifunza usiandike ili mradi unataka kuandika, jaribuni kushirikisha ubongo.
 
Bado mpo! Wafuasi wa matendo ya mwendazake. Kila mtu ana hulka yake.

Jiwe hali yake ya afya na udhaifu katika kuongea English kulimzuia kusafiri
Kuwa na akili hata kiduchu..tunajua mmewekwa humu kueneza propaganda uchwara..na id zenu ndio mlifunguliwa na mabosi wenu hivyo wana wamonitor ili mfuate maelekezo yao.

Kuweni na huruma hata na wananchi..mambo ya nchii hii yamedoda..na pia huduma zimesimama..maisha kila siku yanakua magumu.

Hata kama unalambishwa asali kuwa na akili kidogo.

Kwa hiyo yule Marehemu aliyekuwa anawapoteza watu, ananyang'anya mali za watu,anawajeruhi watu,kupora stahiki na haki za watumishi na kusema uongo kila kukicha ndio kwa upeo wenu mkaona mtetezi wenu ( eti wanyonge!)

Anyway silipwi hata senti tano
 
Back
Top Bottom