Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema mtu mmoja amekamatwa nchini Poland akiwa na kobe zaidi ya 100 wakitokea nchini Tanzania bila ya kuwa na vibali vya usafirishaji wa wanayama...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Mnafurahi kuona jamii ikiteseka huku mkifanya makongamano na kugonga cheers kwa fedha za umma muradi mingi inaenda kama kinyonga hakuna kinachoendelea mnachofanya baadhi yenu ni kutangaza biashara...
0 Reactions
1 Replies
625 Views
Jeshi hili lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia neno usalama wa Raia ndipo chimbuko la mabadiliko ninayoyaona mbeleni mwakahuu. Jeshi hili halijawahi kuwa karibu na Raia hata...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwema wakuu? Naomba mwenye cv ya Afande Camillus Wambura aiweke hapa tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA. Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi. Salamu za Mhe...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu? Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala...
1 Reactions
5 Replies
757 Views
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT...
37 Reactions
176 Replies
8K Views
Magufuli alipokaa miaka 6 (mwaka 2018/19 walimu waliongezewa kiasi kisichozidi elfu 10 kila mwalimu) bila nyongeza ya mishahara kwa watumishi wengine watu walimlalamikia sana. Kwa tunaojua na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Tangu mshahara wa mwezi July -2022 utoke pamekuwepo na jitihada na nguvu kubwa sana inatumika mitandaoni kuwaponda na kuwakejeli watumishi wa umma hasa walimu na manesi.Wengine wamekuwa wakienda...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa "Mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache...
31 Reactions
46 Replies
3K Views
Kama mnakumbuka serikali ilitoa waraka wa nyongeza ya posho za safari nje ya ofisi (perdiem) ikiongeza kutoka laki moja mpaka 150,000. Katika mwendelezo ule ule kwenye mishahara, serikali...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
KATIBU WA AMCOS WILAYANI MASWA KORTINI KWA UHUJUMU UCHUMI. TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) imemfikisha Katibu Wa Chama Cha Msingi cha Ushirika (Amcos)cha Mbaragane katika...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Waziri wa Ujenzi Prof Mbarawa amesema daraja la mto wami pamoja na flyover mbili za Dar zitazinduliwa rasmi na kuanza kutumiwa na wananchi tarehe 30/5/2022.
7 Reactions
26 Replies
7K Views
Ni hivi nyongeza ya mshahara kwa 23.3% inaanza kwa watumishi wa Umma wenye kima cha chini 300,000.. so approximately mtu huyo anapokea 70,000 extra!! Hizo asilimia zinakuwa zinapungua kadri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali imebainisha kuwa wastani wa Sh700 bilioni zitaihitajika kuhamisha kaya 22,000 zilizoko eneo la hifadhi la Ngorongoro ikiwa wananchi wote watataka kuondoka ili kupisha ikolojia ya uhifadhi...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
SIMIYU: KAMPUNI ZILIZOSAMBAZA DAWA FEKI ZA PAMBA KITANZANI Mkuu wa Mkoa Simiyu, Ndugu David Kafulila amesema timu aliyounda kuchunguza ukubwa wa tatizo la dawa feki za pamba itamaliza kazi siku...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkoa wa Simiyu ni moja kati ya mikoa ambayo inajishughulisha zaidi na kilimo pamoja na ufugaji. Hasa kilimo cha Pamba sasa ivi pia wanalima Alizeti. Kwa miaka mingi kilimo cha pamba mkoani Simiyu...
2 Reactions
2 Replies
716 Views
KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Shujaa wa Afrika hakutaka kabisa kuigiza kwenye masuala yawahusuyo Watanzania. Nimekuwekea clip hapa chini.
20 Reactions
88 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…