Naona ni wiki sasa hizi njemba zinapuyanga kila mtaa mkoa kwa mkoa zikisema ujanja ni kuchanja, wakihimiza watu wachanje chanjo ya korona.
Sasa huyu shilole, mkojani na wema sepetu wana utashi...
Mambo yamebadilika sana
Siku hizi Uwakilishi imekuwa ni Ajira tena inayolipa kuliko zote
Zamani Wananchi walimchagua mtu Bila malipo ( bure) lakini Siku hizi Uwakilishi unanunuliwa kama bidhaa...
Mhasibu wa zamani Wizara ya Mambo ya Ndani Christina Kaale, amehukumiwa kulipa faini ya sh. Milioni nane ama kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia katika...
Habari ndugu Watanzania,
kuna sintofahamu kubwa inayoendelea huko Ngorongoro katika jamii ya Wamasai kuwa na mgogoro na Serikali.
Tuelimishane hapa kwenye huu Uzi kwa wale wenye uelewa wa huu...
Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema.
Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
Habari za jioni wakuu.
Miaka miwili nyuma, Ghana ilikuwa nchi ya mfano katika ukuaji wa uchumi barani Afrika. Bin Vuu, 2022 Ghana ipo katika mgogoro mkubwa wa kiuchumi. Ghana inaelekea kwenye...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali imedhamiria kwa dhati kuwekeza katika sekta ya elimu Nchini ili iweze kutoa matokeo bora kwa Watanzania na mipango...
"Takwimu za kiuchumi zitakazopatikana Agosti 23/2022 zitaonesha uwiano wa vijana wanaojishughulisha na kazi za kuzalisha mali na aina ya kazi tunazofanya.
Hii itaisaidia serikali katika kupanga...
KAFULILA: BEI YA UMEME KENYA MARA MBILI YA TANZANIA
Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Kafulila amesema takwimu za ulinganisho wa bei ya Umeme Afrika mashariki zinaonesha kwa wastani watanzania wanatozwa...
Habari!
Nitatoa sababu mbili tu muhimu kwanini RAIS wa TUCTA na katibu wake wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi.
1. Wanaonyesha dharau kwa RAIS SAMIA.
Miaka 6 ya utawala wa Magufuli hapakuwa na...
KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho...
Kwa mara nyingine Rais Samia Suluhu anaendelea kuonyesha aina ya uongozi unaojali uwajibikaji na usio toa nafasi ya kufanya kazi kwa mazoea. Falsafa hii ni muhimu kwa Taifa linalohitaji matokeo ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana...
Habari wana Jf ,ninapata shida sana kuamini kwamba kabla ya kuteua mtu kuwa kiongozi tunafuatilia kwa kina sana .
Kwa J Makamba mbali na kwamba ana roho nzuri na ndicho kitu nacho kipenda kwake...
Kitendo cha kushupaza shingo baadhi ya wakuu wa mikoa kanda ya ziwa bila kumpa ushirikiano mtoto pendwa mjengoni kimewagharibu sana karibuni uraiani tuongee lugha moja maana mlimuona wakawaida...
Sizuii kujadili hizi teuzi lakini naona tunapoteza muda kujadili sungura katikati ya mbwa mwitu mtu mmoja au wawili hawawezi kubadili hali ya utendaji katika mfumo mbovu watu wengi wana uwezo wa...
Dubwasha kubwa kama CCM kulitukana unatafuta ugomvi mkubwa sana.
Unapokosoa viongozi wao lazima ujue mipaka yako.
Wengine tunapo wapa vipande vyao viongozi wao tunaelewa ni kwa wale ambao...
Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.
Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa...
Katika muendelezo wa Samia kushindwa kuiongoza nchi yetu kwa uwezo wake akina zitto wanamshauri kuwa ili afanikiwe ni kuhakikisha legacy ya Magufuli inafutika kabisa. Na kwa akili yake anadhani...
Nimekutana na hii habari kwamba Rostam Azizi amezuiwa kuuza Gesi yake Kenya kisa eti maswala ya mazingira.
Wakenya kwenye figusifigusi wako vizuri sana hawa jamaa hata Dange amewavulia kofia. Wao...