Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti.
Urasimu huu sio...
Nimesoma taarifa Leo Rwanda walimu kupata salary increase 88% .
Kwa Tanzania wachawi ni wasaidizi wa Rais. Wanampotosha Sana. Unamuongezea MTU 23.3 Kwa kima Cha chini halafu ndio inakuaje.
Ni...
Habari wanajamvi .
Naleta mada tajwa hapo juu tujadili pamoja kwa hoja.
Nikianza na Raisi wa awamu ya kwanza huyu alikuwa muhimu sana kwa kuwa tanzania ndo ilikuwa inajenga msingi.
Ukiangalia...
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya...
Nashauri Mbowe na wengine wakae kimya waangalie maisha yao na Familia zao, Watanzania sio watu wa kutetete kamwe, bora kutetea hata wale Mbwa wanao zurura mitaani wasipigwe ila sio kutetea...
Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali...
Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f.
Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna...
Rais Samia Suluhu Hassan amefichua Siri iliyokuwa imefichika kuhusu gawio kwa serikali yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya mashirika na taasisi za umma huku yakiwa yamepata hasara.
Mkuu huyo wa...
Mungu ni mwema mwaka 2020 uchaguzi mkuu Shujaa Magufuli na Mama Samia walishinda kwa Kishindo
Vinginevyo angeshinda Tundu Lissu tungekwama sana kutokana na Sera za CHADEMA za mrengo wa Kimagharibi
Hii serikali ya chama cha mapinduzi inadharau kuanzia mtoto mdogo mpaka kikongwe, haina adabu kabisa yani Kuna hili kundi la special group ~WALIMU linafanya kazi kwa mazingira magumu taabani kama...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane...
Wana JF.
Naamini sote huko tuliko tunaendelea kusikilizia maumivu ya hari ya maisha ilivyo.
Nirudi kwenye mada.
Kwa sasa hii nchi ni kama mwanamke aliye pakwa makaup na pindi tu anapofuta...
Hali ya mafuta ni mbaya ambapo leo watanzania wenzetu wa Kyerwa Ruberwa Mkoa wa Kagera wanauziwa mafuta ya Petroli kwa Tsh 3,647 kwa lita huku wale wa Ukerewe Mkoa Mwanza wakiuziwa lita moja kwa...
Mimi ni mkereketwa wa CCM , mfurukutwa kada kindaki ndaki na mwanachama pia, hii tabia ya magari yanayopeperusha bendera za Chama kuendeshwa hovyo hovyo kwa kasi bila kujali sheria za barabarani...
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.
Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia...
===
Kwa unyenyekevu mkubwa hebu pitia hizi taarifa za World Petrol Price uone majirani zetu wanavyoteseka kwa bei kubwa ya Mafuta pengine itakuzindua uache lawama kwa Rais wako anayekupambania...
Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM
Hali ni...
Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni...
Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa...
Niliweka bandiko hapa JF asubuhi nikimsihi Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel atolee ufafanuzi wa mabadiliko ya utaratibu wa matibabu kwa wenye bima za NHIF
Namshukuru Serikali imesikia na zoezi...