CCM itakuja kufa siku walimu wakijitambua

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Hii serikali ya chama cha mapinduzi inadharau kuanzia mtoto mdogo mpaka kikongwe, haina adabu kabisa yani Kuna hili kundi la special group ~WALIMU linafanya kazi kwa mazingira magumu taabani kama wapo kuzimu lakini chaajabu tuhela wanavyopata hata muokota makopo anamzidi, hawajawahi kufrahia maisha tangu kuzaliwa kwao, walimu wanateseka sana mpaka huwa natoa machozi ila shida kubwa hawajitambui.

Walimu hawajitambui kwa sababu kuu ya umasikini. Hawajui kugoma kama wale wa Uganda maana wakigoma tu wanatishiwa kufukuzwa kazi Sasa wao wanaogopa ilihali hiyo kazi yenyewe pesa yake ni ndogo mpaka ATM inamcheka. Walimu nawashauri kwenye majukwaa yenu, magroup yenu ya WhatsApp, kwenye semina zenu jihamasisheni muanze mgomo. Serikali ya ccm iliahidi nyongeza ya 23% mkasema mama anaupiga mwingi haya sasa nadhani mmeona.

Mbona walimu mmezubaa kiasi hiki jamani halafu mmekuwa wahanga wa kutapeliwa mara QNET mpaka kwenye vyama vyenu vinawatapeli. Mwenge ukipita unalazimishwa kuchangia manina, mnatumiwa kwenye mipango kazi ya miongo na nusu miongo kama uchaguzi mkuu na sensa maana nyinyi ni cheap labour wakiamini pesa hamzijui mkipewa buku ten per day mnakuwa midomo ya ngiri sijui mkoje.

Walimu mko wengi nchi hii. Wale wa shule ya msingi hamasisheni maandamano ya wanafunzi waingie barabarani kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini, hali kadharika hivyo hivyo na wale wa sekondari mpaka chuo kikuu hamasisheni wanafunzi wagome na kuandamana barabarani naamini hawatakataa. Hilo likifanyika serikali hii itatia adabu.

N. B. picha ya chini haina uhusiano wowote
JamiiForums1715262602.jpg
 
Zamani nilikuwa nawatetea Sana hawa watumishi waalimu

Naanza kukuelewa mleta mada hii kada Kuna shida mahali Kuna jiran yangu ni mwalimu eti jina lake la sensa halijarudi analalamika Sana anadai atampigia mwenyekiti wa CCM wilaya kwani uchaguzi 2020 alipambana Sana sasa sijui alipambania nini?
 
Zaman nilikuwa nawatetea Sana hawa watumishi waalimu

Naanza kukuelewa mleta mada hii kada Kuna shida mahali Kuna jiran yangu n mwl eti jina lake la sensa halijarud analalamika Sana anadai atampigia mwenyekiti wa ccm wilaya kwan uchaguz 2020 alipambana Sana sasa sjui alipambania nn?
Mpwayungu! Mimi ni mwl! Walimu wengi ni washenzi Sana! CCM imewalisha limbwata! Takataka kabisa!
 
Zaman nilikuwa nawatetea Sana hawa watumishi waalimu

Naanza kukuelewa mleta mada hii kada Kuna shida mahali Kuna jiran yangu n mwl eti jina lake la sensa halijarud analalamika Sana anadai atampigia mwenyekiti wa ccm wilaya kwan uchaguz 2020 alipambana Sana sasa sjui alipambania nn?
Serikali ya CCM hujanielewa, wao kwao mbumbumbu ndo wanahitaji ili wasigome na wawe wanawafanya wanavyotaka Chunguza kwa polisi vigezo vyao vya ajira, halafu njoo kwa walimu jiulize why wanapenda kuwaajiri certificate ilihali hata degree anafundisha primary.
 
Yaani hadi uende ualimu maana yake kwenu ni maskini na serikali inalijua hili ndio maana haitetereshwi na kelele za walimu, fujo zikizidi watatumwa maafisa elimu na wakurugenzi kutia biti na wananyamaza kimyaa, umasikini mbaya sana.

Na kibaya hawajui hata sheria ya utumishi ilivyo laini kwao sasa uoga huo na pesa ya kupambana akipewa kesi ya ovyo ovyo atatoa wapi mwalimu? Watabaki hivyo hivyo milele.
 
Mpwayungu! Mimi ni mwl! Walimu wengi ni washenzi Sana! Ccm imewalisha limbwata! Takataka kabisa!
Poleni sana ahse, yani unakuta mwalimu amechakaa kama wale wakata mkaa halafu mbaya zaidi wengi mpo stressed tena vimichango vingi vinapitia kwenu mwisho wa siku mpaka mifuko inakauka kabla ya tar mosi
 
Yani hadi uende ualimu maana yake kwenu ni maskini na serikali inalijua hili ndio maana haitetereshwi na kelele za walimu,fujo zikizidi watatumwa maafisa elimu na wakurugenzi kutia biti na wananyamaza kimyaa, umasikini mbaya sana.
Na kibaya hawajui hata sheria ya utumishi ilivyo laini kwao sasa uoga huo na pesa ya kupambana akipewa kesi ya ovyo ovyo atatoa wapi mwalimu? Watabaki hivyo hivyo milele.
Hata mimi nimeeleza hapo juu. Walimu wote wametokea Familia masikini ndio maana akiwaza hali ya nyumbani ilivyo anaona akae kimya tu. Ila Kuna kipindi dharau ikizidi ni bora upoteze hiyo kazi ukatafute mishe zingine tu.
 
Hii serikali ya chama cha mapinduzi inadharau kuanzia mtoto mdogo mpaka kikongwe, haina adabu kabisa yani Kuna hili kundi la special group ~WALIMU linafanya kazi kwa mazingira magumu taabani kama wapo kuzimu lakini chaajabu tuhela wanavyopata hata muokota makopo anamzidi, hawajawahi kufrahia maisha tangu kuzaliwa kwao, walimu wanateseka sana mpaka huwa natoa machozi ila shida kubwa hawajitambui.

Walimu hawajitambui kwa sababu kuu ya umasikini. Hawajui kugoma kama wale wa Uganda maana wakigoma tu wanatishiwa kufukuzwa kazi Sasa wao wanaogopa ilihali hiyo kazi yenyewe pesa yake ni ndogo mpaka ATM inamcheka. Walimu nawashauri kwenye majukwaa yenu, magroup yenu ya WhatsApp, kwenye semina zenu jihamasisheni muanze mgomo. Serikali ya ccm iliahidi nyongeza ya 23% mkasema mama anaupiga mwingi haya sasa nadhani mmeona.

Mbona walimu mmezubaa kiasi hiki jamani halafu mmekuwa wahanga wa kutapeliwa mara QNET mpaka kwenye vyama vyenu vinawatapeli. Mwenge ukipita unalazimishwa kuchangia manina, mnatumiwa kwenye mipango kazi ya miongo na nusu miongo kama uchaguzi mkuu na sensa maana nyinyi ni cheap labour wakiamini pesa hamzijui mkipewa buku ten per day mnakuwa midomo ya ngiri sijui mkoje.

Walimu mko wengi nchi hii. Wale wa shule ya msingi hamasisheni maandamano ya wanafunzi waingie barabarani kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini, hali kadharika hivyo hivyo na wale wa sekondari mpaka chuo kikuu hamasisheni wanafunzi wagome na kuandamana barabarani naamini hawatakataa. Hilo likifanyika serikali hii itatia adabu.

N. B. picha ya chini haina uhusiano wowote View attachment 2300756
Walimu ambao hawazidi 400k ndio waiue CCM? Una akili timamu kweli wewe?
 
Mimi nimefanya kazi ya ualimu miaka kadhaa nakuambia kwa Tanzania Mwalimu hata akatwe 95%ya mshahara wake hata kaa agome kwa maana huko vijini wanakopa sana mwisho Wa mwezi anautegemea sana ukiwawashauri tugome wengine wanakuambia nikigomea mshahara wadeni wangu nitawaambiaje wengine ajira walilata kwa bahati kwa kuombewa na baba au MJOMBA au shangazi ataacheje ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom