Tuuseme tu Ukweli. Nchi imepakwa Makeup ila Uhalisia sio kabisa

Tuuseme tu Ukweli. Nchi imepakwa Makeup ila Uhalisia sio kabisa

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,371
Reaction score
11,814
Wana JF.

Naamini sote huko tuliko tunaendelea kusikilizia maumivu ya hari ya maisha ilivyo.

Nirudi kwenye mada.

Kwa sasa hii nchi ni kama mwanamke aliye pakwa makaup na pindi tu anapofuta makeup anarudi kwenye uharisia wake.

Hivi sasa mambo hata hayaeleweki, serikali inakamua hadi tone la damu. Hakuna hata mtu anaweza kusema wananchi wapunguziwe ukali wa maisha. Nchi inaendeshwa na wahuni wengi wenye masilahi binafsi, wasio jari maisha ya mtanzania.

Tunakoelekea tutashindwa kujikwamua. Kila kitu kinapanda bei, Mitaji inasinyaa na tozo zinawekwa kila mahari.

Mtanikumbuka kwa Mazuri.

Ushauri kwa serikali. Masiangalie tu mnachokusanya, angalieni mnavyotukamua Raia. Hatuna hamu hadi sasa.
 
Mkuu jifunze kusoma alama za nyakati,
Huko Duniani kwa wenzetu wanaoishi viongozi wao wanajiuzulu.
Hata kama angekuwepo jiwe kauli zake mngeishi nazo tu
Hebu tazama kauli za magufuli wakati huu zingekuwa hivi👇
1:"kwani mimi hiyo vita nimeileta mimi"
2: bakini na mavi yenu huko nyumbani
3:asiyefanya kazi na asile(ukweli mchungu)
4:tetemeko sijalileta mimi😀(so funny)
 
Twende kwenye uharisia sasa?

Tutozwe tu Tozo kila kona ama ?
 
Nchi imefunguliwa milango ya kutokea nje, ila naona milango ya vyumbani bado imejifunga.
 
Ili kurudisha pesa kwenye mzunguko,mama amebaki kuteua tu,Ili watu walipwe mishahara,pesa irudi kitaa,wizi upo pale pale,Hana jinsi ya kuikwamua nchi,ccm nchi imewashinda mambo hayaendi,wamebakiza kufsnya drama tu,
 
Twende kwenye uharisia sasa?

Tutozwe tu Tozo kila kona ama ?

Kawaambie wabunge wa CCM wahoji hilo maana walijazwa bungeni kwakuwa ni wazalendo, na wanajali shida za wananchi.
 
Mkuu jifunze kusoma alama za nyakati,
Huko Duniani kwa wenzetu wanaoishi viongozi wao wanajiuzulu.
Hata kama angekuwepo jiwe kauli zake mngeishi nazo tu
Hebu tazama kauli za magufuli wakati huu zingekuwa hivi[emoji116]
1:"kwani mimi hiyo vita nimeileta mimi"
2: bakini na mavi yenu huko nyumbani
3:asiyefanya kazi na asile(ukweli mchungu)
4:tetemeko sijalileta mimi[emoji3](so funny)
Magufuli alikua anabana matumizi na anasiamamia wale anaowateua Ili wafanye kazi mana anawalipa vizuri. Sasa unawalipa watu vizuri halafu unawaacha wanafuja fedha za umma. Magufuli alikua anazuia MPAKA pesa za maadhimisho uchwara ya uhuru Wakati Nchi ni maskini. Anasimamia pesa zake zinajenga Barabara. Hakuwa na mzaha na wahuni. Tanzania bila kuwakoromea na kuwatengua wanajisahau na Kuwa walevi Wa pombe na madaraka wakishapata pesa.

Mama Anadanganywa sana mana Kuna kundi linaonekana linajipanga kuingia ikulu miaka Hata ishirini ijayo.Na wanajua bila pesa hawatoboi. Wanataka kufikia kiwango Cha utajiri Wa Lowasa bila kujua Kuwa Lowasa alikua ni jembe na alikua anachapa kazi inayoonekana. Wahuni wengi wanakula na kuvimbiwa tu Kwa malengo ya kupata madaraka na Ubunge tu.
 
Wana JF.

Naamini sote huko tuliko tunaendelea kusikilizia maumivu ya hari ya maisha ilivyo.

Nirudi kwenye mada.

Kwa sasa hii nchi ni kama mwanamke aliye pakwa makaup na pindi tu anapofuta makeup anarudi kwenye uharisia wake.

Hivi sasa mambo hata hayaeleweki, serikali inakamua hadi tone la damu. Hakuna hata mtu anaweza kusema wananchi wapunguziwe ukali wa maisha. Nchi inaendeshwa na wahuni wengi wenye masilahi binafsi, wasio jari maisha ya mtanzania.

Tunakoelekea tutashindwa kujikwamua. Kila kitu kinapanda bei, Mitaji inasinyaa na tozo zinawekwa kila mahari.

Mtanikumbuka kwa Mazuri.

Ushauri kwa serikali. Masiangalie tu mnachokusanya, angalieni mnavyotukamua Raia. Hatuna hamu hadi sasa.

Hakunaga uchumi mzuri ama mbovu, uchumi ni ule ule, ukiona unalalamika kuhusu hali ya maisha ama uchumi basi jua kuna walakini kwenye elimu yako

Mimi sio kwamba ni tajiri mkubwa ila uchumi lazima upite nyakati zote, katika maisha yako unapswa kujua kuna nyakati ngumu mbelen kwahio usisubiri zifike ndo uanze kulalamika, cha muhimu kumbuka kua na uwekezaji miaka yote
 
Back
Top Bottom