Wanao fikiria kuwa CCM imejifunza kitu kupitia uchaguzi mkuu wa Kenya na watakuwa tayari kufanya marekebisho ktk KATIBA mpya ili tume huru iwepo mnajidanganya.
Kuwaza hivyo ni sawa na kumchukua...
Mh Mbowe popote ulipo chukua hi 5 πππ
Mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuongea Kwa ajili Hawa watz
keyboard worries
Naomba we lamba Asali TU
Taifa la Tanzania haliwezi kukombolea maana Kuna watu...
Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka.
Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada...
Ukiangalia majiji mengi Africa huwa watawala wanapata wakati mgumu sana kule, Harare Mugabe alikuwa anakumbana na upinzani wa kweli, sana alikuwa anawadanganya kule vijijini.
Nairobi ni kitovu...
Nimeanzisha huu uzi baada ya kuona comment ya huyu bwana johnthebaptist kwenye uzi mmoja. Naamini pasi na shaka huu ndo uongo mkubwa ambao watanzania wengi wameaminishwa. Hii kasumba ipo kila kona...
Wadau habari ya jioni.
Mimi napata taabu sana jinsi wanavyosumbuliwa na serikali. Hakuna tume huru polisi wanasaidia kuhakikisha ccm inashinda. Haya Mambo Ni kupotezea muda na kuzeeshana bila...
Hili Taifa ili tushikishane adabu inabidi tujitoe akili maana wametuona kama maiti.
Serikali inaweka tozo tu bila wananchi kupewa taarifa halafu manung'uniko yamejaa mitaani hawataki hata kutolea...
Walisulubishwa na mgambo wa jiji na vitu vyao vikamwagwa na kubebwa,nimecheka sana kwani wanavuna walichokipanda
Katika watu ambao siwezi kuwasamehe ni machinga na hao wenye vibanda kando ya...
Chini ya Rais Samia Suluhu, mipango hivi sasa inasukwa kati ya TANOIL, kampuni tanzu chini ya TPDC na Oman OQ ya Oman kufanya kazi kwa pamoja kwenye sekta ya kufanya bidhaa za Petroli.
Mpango...
Habari za mda huu wanajamvi. Naenda Moja Kwa Moja kwenye mada. Ebu nisaidieni Kama nimesahau au niko sahihi.
Propaganda zile ilitembea sana siku zile ili kupata uhalali wa watanzania wakubali...
Tumeona Mtanzania Brigedia Jenerali Juma Nkangaa akiidhinishwa kuongoza Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC kama Mkurugenzi. Hatua hii inatokana na juhudi za serikali ya Rais Samia...
Katika mkutano wa 42 wa nchi za SADC unaoendelea huko DRC ambapo nchi mwenyeji DRC kupitia Rais wake Felix Tshesekedi amehutubia mkutano huo na bila kificho wala hiyana aliamua kutoa kongole zake...
Leo Mahakama ya Kisutu imempa ushindi Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya Mwanaccm Paulo Makonda.
Ikumbukwe kwamba Makonda akiwa na vyeo vya kuteuliwa alimshitaki Kubenea kwa...
Kwa hali ilivyo huku mtaani.
Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence...
Umefika wakati sasa wamfate mzee wa Msoga wamuulize aliwezaje kulipa mishahara hewa na kuendesha miradi bila Tozo? Akaongeza mishahara na wananchi tulikula good time fresh tu? Naamini yule mzee...
Habari Wana jamvi.
Wizara ya Nishati kupitia Tanesco wameingia Makubaliano ya Ubia wa kuzalisha umeme wa Nishati jadidifu kiasi cha megawatt 2,000 ifikapo 2024 na Kampuni ya Kutoka Taifa la...
Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema
Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua
Mungu ni mwema wakati wote
Tozo Tozo Tozo
Kila mahali ni Tozo na Tozo ni tofauti na Kodi yaani Kodi utalipa na Tozo utakatwa
Mfumuko wa Bei haudhibitiwi Mishahara haijaongezwa sio tasisi zote zimepata icho kima hata cha...
Pamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi.
Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya...
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametangaza kwenye gazeti la serikali kuanza kwa kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia bank pale unapotoa au kuweka fedha utakatwa kodi ya viwango tofauti...