Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,393
9,666
Kwa hali ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
 
Kwa hari ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushngaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
Vipi tuombe Mungu amrudishe
 
hivi ule msemo wa pambana na hali yako na vyuma vimekaza ulikuwa ni kipindi gani? Tuache chuki
Ule msemo ni kwa sababu ya kuwabana walio kuwa wanafuja mali za umma. Lakini watu walikuwa wabunifu kuanzisha biashara na wengi walibuni mbinu mbali mbali na uhuru wa kufanya hivyo ulikuwa mwingi. Kwa sasa bila pesa ndefu huwezi anzisha biashara. Maana lazima uwe na pesa ya pango. Pesa ziko na wachache.
 
Kwa hari ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.

CCM haitegemei kura kukaa madarakani acha upotoshaji wakijinga.
 
Ule msemo ni kwa sababu ya kuwabana walio kuwa wanafuja mali za umma. Lakini watu walikuwa wabunifu kuanzisha biashara na wengi walibuni mbinu mbali mbali na uhuru wa kufanya hivyo ulikuwa mwingi. Kwa sasa bila pesa ndefu huwezi anzisha biashara. Maana lazima uwe na pesa ya pango. Pesa ziko na wachache.

Kwani wakati wa dhalimu mambo yalikuwa marahisi, au unadhani tumesahau?
 
Unalamba asali?

Mambo hayasomani anakuwaje bora?. Tupate mwingine tu.
Sio kulamba asali, hakuna serikali itakayokuletea Hela hata aje nani, sisi tunapambana kitaa tunachohitaji ni amani, usalama na uhuru wa kufanya mambo yetu

Ukikaaq kuilaumu serikali Kila siku wakati huna uwezo wa kubadilisha mambo ni kukaribisha umaskini wewe na kizazi chako

Otherwise pambana na wewe uwe Rais Ili urekebishe pale palipopwaya
 
Tujikumbushe

Ule msemo ni kwa sababu ya kuwabana walio kuwa wanafuja mali za umma. Lakini watu walikuwa wabunifu kuanzisha biashara na wengi walibuni mbinu mbali mbali na uhuru wa kufanya hivyo ulikuwa mwingi. Kwa sasa bila pesa ndefu huwezi anzisha biashara. Maana lazima uwe na pesa ya pango. Pesa ziko na wachache.
Ulichokiandika sio kweli ....ule utawala biashara za watu wengi zilikufa kibudu.....
 
Kwa hari ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
Kumbuka Mahera bado kashikilia tume na inaelekea bado wanamtaka aendelee na cheo chake ..... Imani itaanza kunirudi kidogo siku Mahera akiondoka kwenye hiyo position.
 
Hakuna Kipindi Mambo yalikua magumu kama Kipindi Kile cha bwana yule tena kipindi kile sio tu uchumi kuwa mbovu alienda mbali na Kupora watu haki na uhuru wao.Sasa hivi Tupo huru hata wewe unapata nafasi ya kutoa maoni yako kama hivi na hautakamatwa na wasiojulikana na uchumi sasa hivi unaimarika. Prediction yangu Kura zikipigwa leo atashinda kwa 93.7%. Muacheni afanye kazi na uache Ramli chonganishi
 
Pamoja na mambo mengi ya kijamii ambayo hayajakaa sawa nitampigia kura huyu mama nadhani Kuna watu wanamhujumu.

Lakini ni Bora huyu kuliko kupata watu aina ya jiwe tuanze kuuwana na kuishi Kwa hofu
Wanamhujumu? Wanamhujumu yeye akiwa wapi? Anahujumiwa yeye AKILI za kujua anahujumiwa akiwa amezikodishia wapi? Anahujumiwa vipi ilhali ana Vyombo lukuki vya Dola vya kumkusanyia faarifa? Amewezaje kujua Magawio ya Mashirika ya Umma enzi za Magufuli yalikuwa yanakopwa Bank na ashindwe kujua kuwa anahujumiwa?
Tatizo letu Ni Unafiki. Alipoboronga Marehemu Magufuli hakuwa anahujumiwa ila huyu kila Failure anahujumiwa! Hivi Kwa nini hatutaki kuelewa kuwa Nchi hii kimahitaji na Changamoto zake haviwiani na uwezo wa Mama? Mungu sio mjinga kutuumba Kwa uwezo tofauti. Hata Malaika wanazidiana Uwezo. Mama HANA UWEZO WA KIAKILI wa kutosha kabisa kuongoza Nchi kama hii. Kama CCM wakiwa wakweli tu Kwa nafsi Zao na Kwa kuzingatia Mahitaji ya Watanzania basi hawatampa mama tena Nafasi. Mimi nkionana naye huo ukweli nitampa.
 
Kwa hari ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
CCM , 2025 ndo mwisho, may be uchaguzi usifanyike, ukifanyika tutafia vituon , ya zambia yanakuja 2025, Iyo sijui piga kura nenda nyumbani hakuna, 2023 lazima pamoja na Mambo mengine kuanza utoaji elim hasa KWa vijana KILA mahali Tz nzima na kua na mkakati wa pamoja namna ya kulinda kura.

Hii ni sehem ambayo tumekua hatujiandai nayo, inakuja kutolewa wakati wa campeni tu.
So 2023, lazima kuwa na mtandao wa ulindaji wa kura anzia kitongoji mpaka mkoa, mpaka taifa, na lazima kuunda kikosi kazi KWa ajili ya kuratibu elim hii na mtandao mzima kabla ya uchaguzi
Inawezekana kura yangu moja inayoibiwa ndo inafanya maisha yangu ,na mwingine kuwa magumu Sasa KWa nini nisilinde kura yangu?
Imetosha sasa
 
Wanamhujumu? Wanamhujumu yeye akiwa wapi? Anahujumiwa yeye za kujua anahujumiwa akiwa amezikodisha? Anahujumiwa vipi ilhali na Vyombo lukuki vya Dola? Amewezaje kujua Magawio ya Mashirika ya Umma yalikuwa yanakopwa Bank na ashindwe kujua kuwa anahujumiwa?
Tatizo letu Ni Unafiki. Alipoboronga Marehemu Magufuli hakuwa anahujumiwa ila huyu kila Failure anahujumiwa! Hivi Kwa nini hatutaki kuelewa Nchi hii kimahitaji na Changamoto zake haviwiani na uwezo wa Mama? Mungu sio mjinga kutuumba Kwa uwezo tofauti. Hata Malaika wanazidiana Uwezo. Mama HANA UWEZO WA KIAKILI wa kuongoza Nchi kama hii. Kama CCM wakiwa wakweli tu Kwa nafsi Zao na Kwa kuzingatia Mahitaji ya Watanzania basi hawatampa mama tena Nafasi. Mimi nkionana naye huo ukweli nitampa.
Umeeleweka.
Natamani wewe ndio ungeanzisha huu uzi.
 
Back
Top Bottom