Upinzani Tanzania Kama hauhitajiki na CCM ufutwe tu

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
Wadau habari ya jioni.

Mimi napata taabu sana jinsi wanavyosumbuliwa na serikali. Hakuna tume huru polisi wanasaidia kuhakikisha ccm inashinda. Haya Mambo Ni kupotezea muda na kuzeeshana bila sababu. Yaani Kwa sisi thinkers huu ni uhuni na uhalifu mkubwa.

Haya Mambo siyo ya kufurahia kabisa maana chama cha siasa siyo wale viongozi. Chama cha siasa. Ni kundi la watanzania na ni wapenda nchi kuliko waloko madarakani.

Ni dhambi kutotaka mabadilko wakati sisi tunaona mmeshindwa kuendedha nchi. Miaka 60+ sahizi na bado Mambo nimagumu umaskini umetalaki kila Kona.

Je Kuna haja ya kuendelea na ninyi mlioshindwa? Hapa tunataka hoja kutoka kwenu watawala kutushawishi sisi kuwa hamjashindwa kuongoza nchi hi. Tuwe waugwana kabisa huu sio mda wa kuwatapeli watz. Wengine wenzenu tuumwa na umaskini wa nchi yeti.

Haiwezekani Kwa miaka 60+ hatuna tulichoweza cha kijivunia. Ni aibu kubwa Kama taifa na ni uzezeta wa hali juu Sana.

Anyepinga tunamuomba onyesha uugwana wa kujenga hoja kuwa hamjashindwa kwa kuendedha nchi. Mambo yanaenda hovyo sana wenzenu tunaumwa kabisa kuona hovyo.

Wanaotoa alternative way mnawatia msukosuko ionekane matatizo ya nchi yetu ni wao. Je tangu mmekuwa peke yenu bungeni watanzania wamefaidi nini?

Tanzania ni yetu wote msitake kutufikisha babaya kiasi kwamba watu wachoke. Kila mwaka wa uchaguzi polisi wanakuwa watu mihimu kuwaokoa ni aibu kwa watu waliostaarabika.

Yaani watu wanajitoa kupiga kura mnafhulumu mioyo ya watu. Kura ni moyo wa mtu inauma sana hamjui tu. Mnatakaka damu za watanzania? Kwa nini hamtaki kukubali kushindwa.

Kumbukeni hakuna marefu yasiyo na ncha hakika nawaambia. Ni vibaya sana kuwadhulumu watu.

Kama upinzani hauhitajiki tz ufutwe kabisa siyo kupotezeana mda na kuzeeshana.

Kama Kuna mtu ana mawazo tofauti aje atushawishi na kutupa matumaini maana kila lililo ovu wanatuliwa wao wakati hawahusiki hata kidogo.
 
Mtajifuta wenyewe au kufutwa na wananchi, nani ahangaike na nyie kwani wakati mnaunda vyama vyenu mlikuja kuomba ushauri kwa CCM? 😜😜
 
Mtajifuta wenyewe au kufutwa na wananchi, nani ahangaike na nyie kwani wakati mnaunda vyama vyenu mlikuja kuomba ushauri kwa CCM? 😜😜
Sasa ni kwa nini watu wateseke kwa vitu au Mambo ambayo hawakufanya? Yaani uibe wewe kesi nipewe Mimi vp hapo
 
Back
Top Bottom