CHADEMA watashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,600
Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema

Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua

Mungu ni mwema wakati wote
 
Bendera zikiwekwa mnazishusha, zisipokuwepo mnazikimbuka, vichwa vyenu huko lumu.ba ni vya kupeleka kwa mkemia mkuu avichunguze huwa mnatumia mihadarati gani.
 
No Katiba mpya, no UCHAGUZI wowote,

No Tume huru ya Uchaguzi, No UCHAGUZI wowote.

Ameeeen.
 
Bendera zikiwekwa mnazishusha, zisipokuwepo mnazikimbuka, vichwa vyenu huko lumu.ba ni vya kupeleka kwa mkemia mkuu avichunguze huwa mnatumia mihadarati gani.
Mbona za CUF zipo?
 
Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema

Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua

Mungu ni mwema wakati wote
Usiwe na haraka acha muda ufike,ila tunakumbuka katiba mpya na tume huru wanaiihitaji kuliko huo uchaguzi wenyewe 🤔
 
Back
Top Bottom