Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi...
13 Reactions
54 Replies
4K Views
Kuwabebesha wananchi tozo na kodi nyingi sio suluhisho lenye tija la kuiongezea nchi mapato, ni kuendelea kuwatesa. Mwigulu Nchemba anachojua ni kuongeza sifuri, hana ubunifu wowote ule. Kama...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna mkatoliki aliwahi kuandika kitabu chenye jina la ''Wakatoliki mna kichaa?'' Alikuwa amehama dini flani na kuingia kwenye Ukatoliki. Leo na mimi naomba niwaulize watanzania(au angalau...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Sio kwamba hatutaki kutozwa kodi. Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja? Mshahara unakatwa kodi (PAYE), bank husika wanakata service charge...
22 Reactions
26 Replies
2K Views
WASIOJULIKANA WAANIKWA HADHARANI. Kweli dunia ni eneo dogo sana nimeamini ya kwamba unaweza kutembea na uovu lakini usifikie nao mbali. Huyu Mungu ni wa ajabu sana pale anapoamua kushughulika na...
22 Reactions
115 Replies
16K Views
Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake Hangaya ni afadhali mara milioni kuliko yule dikteta Sitaki kukumbuka mateso ya yule mwendazake Utawala...
33 Reactions
164 Replies
11K Views
Ukitafakari na kuangalia kwa kina sana Utagundua Baraza hili la Mawaziri limejaa akiri kubwa tupu. Hongera kwa Rais SSH ,juu kuna Kassim Majaliwa pale Bashe ,huku Ummy kule Aweso ..nk Ila kuna...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Taarifa ya utafiti ndani ya miezi sita ya uanzishaji wa tozo kwenye miamala ya simu umeleta athari kubwa kwenye mifumo ya fedha ambapo miamala ilipungua kwa zaidi ya 53% lakini pia kulikuwa na...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha. Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ili kufikia azma ya kupanua wigo wa utendaji wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na kuongeza ukaribu katika kuhudumia wananchi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ina Ofisi 17 ambazo zimefunguliwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Vijijini Eng. Modest Apolinary aliyetumbuliwa na Hayati Dkt. John Magufuli baada ya kupigwa fitna za uongo na Mbunge Kasheku Musukuma sasa anaonekana...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President. Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo . Mh Rais amesema...
15 Reactions
166 Replies
14K Views
Wanabodi, Tanzania tuna viongozi bora wengi tuu ila pia tuna bora viongozi. Hili ni bandiko la pongezi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru, kwa kauli aliyoitoa jana pale Madhabahuni ya Kanisa...
22 Reactions
76 Replies
8K Views
Je wajua? 60% ya watanzania wameajiriwa katika sekta ya kilimo. UMWAGILIAJI Kuanzia msimu ujao wa kilimo, Serikali chini ya Rais Samia kuwajengea Wakulima wa zao la chai wa mikoa yote mabwawa...
2 Reactions
12 Replies
875 Views
"Nahili nalo mkalitizame"hii kauli naichukia sana inaonyesha udhaifu Hii kauli siipendi, inaonyesha udhaifu pahala, ofcourse hatupendi kiongozi mropokaji mwenye maneno machafu kama ilivyokua kwa...
15 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanao fikiria kuwa CCM imejifunza kitu kupitia uchaguzi mkuu wa Kenya na watakuwa tayari kufanya marekebisho ktk KATIBA mpya ili tume huru iwepo mnajidanganya. Kuwaza hivyo ni sawa na kumchukua...
2 Reactions
14 Replies
844 Views
Mh Mbowe popote ulipo chukua hi 5 👊👊👊 Mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuongea Kwa ajili Hawa watz keyboard worries Naomba we lamba Asali TU Taifa la Tanzania haliwezi kukombolea maana Kuna watu...
4 Reactions
11 Replies
930 Views
Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka. Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ukiangalia majiji mengi Africa huwa watawala wanapata wakati mgumu sana kule, Harare Mugabe alikuwa anakumbana na upinzani wa kweli, sana alikuwa anawadanganya kule vijijini. Nairobi ni kitovu...
18 Reactions
50 Replies
3K Views
Back
Top Bottom