Kenya is an Elite state..
Tanzania has been made an Ignorant state, an illiterate and a shamming state for years by the rulling CCM.
JK alienda kuangalia uchaguzi wa Kenya. Akaulizwa swali la...
Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia...
Sabato Njema!
Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi.
Lakini licha ya jitihada...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka Amemshauri Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff kuwasimamia vyema...
Ukiachana na watz 80/90% kutokuwa na Elimu ya uraia na hawajui Nini maana ya nchi .
Bado asilimia chache ya watanzania waliobaki ni wabishi wajuaji waongo waongo, wezi nk
Mfano swala la tozo za...
Mbona kama naona huu mfumo niwakimaskini sana. Maswala yakugonga nyumba za watu nakuanza kuuliza maisha yao Kuna vitu ni sensitive mimi kama mimi hata aje Nani siwezi kumwambia uso kwa uso unless...
Wanabodi,
Baada ya serikali kusaini makubaliano na Barrick ambao pamoja na mambo mengine, waliahidi kutupa kitita cha dola milioni 300 kama ishara ya nia njema, Acacia walitoa taarifa kuwa hawana...
Akiahirisha Shughuli za Bunge, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Waziri wa Katiba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Nje, Waziri wa Utumishi, Waziri wa Mawasiliano kutumia Sheria, kanuni na taratibu...
Ni kilio cha kusaga meno kila kona ya nchi tozo imekuwa mwiba mkubwa kwa wananchi kila kona wanalia hata hivyo baadhi ya wafanyakazi wa umma hasa manesi na walimu wanalalamika sana kuona wanalipa...
Hamasa ya Sensa Temeke yakutanisha makundi yote, kesho Viwanja vya Zakhiem Mbagala hakupoi ujanja kusensabika
Kuelekea siku ya sensa leo tunakaa na viongozi wa wilaya, Kamati ya Usalama ya...
Naona vyombo vya habari vingi vinajifanya kama havina habari kabisa kuhusu uchaguzi wa kenya yaani wanachukulia kama vile uchaguzi wa kumchagua mjumbe nyumba 10 10.
Serikali y a CCM mnalo la...
Haisaidii kuacha kuwaambia bayana. Kwa Hakika mmejisahau mno.
Kwamba mna agenda zisizokuwa na baraka zetu? Kwamba hata mna tozo mlizo asisi nyie, tusizoziafiki?
Kwingine mbona si hivyo?
Nyie...
Nimeona tweet za Rais wa Zambia mh Hichilema akiwasiliana na wananch wa Taifa lake
Kilichonifurahisha ni ile hali ya kuwa tayari kukosolewa pale anapokosea kwa mfano akikopa kupita kiasi...
Amesikika Mwigulu kila anapotusokomeza tozo akijimwambafy. Kama hatutaki tuhamie Burundi.
Kwanini siyo Zambia ambako utawala wa haki kwa sasa ndiyo kwao?
Kwanini kutuchulia hivi huyu...
Wanasiasa wengi wa Tanzania hawana kitu kingine wanaweza kufanya nje ya mfumo wa siasa wakapata kipata kizuri na maisha yao yakaendelea vizuri.
Wengi wanaotoka vyuoni wakajiunga na siasa moja kwa...
Wakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa.
Ni...
Wataalamu wa kichina kwenye jimbo la Hubei huko China wakirusha Roketi yenye Kemikali zenye uwezo wa kusababisha mawingu ya Mvua kwa lengo la kuchochea unyeshaji wa mvua kutokana na ukame...
Kwa sasa huwezi kuwasikia walamba asali wakisema chochote kwa sababu wako kwenye mizinga ya nyuki wakilamba asali.
Serikali hii ya kikatiba ambayo haikuchaguliwa na wananchi haina uchungu na...
Watanzania wengi wanapenda kuona mafanikio ya Yanga na Simba, yaani wao hata familia zao zikilala njaaa, hata wakienda Hospitali wakaambiwa dawa hakuna wao hio sio shida sana shida kubwa ni je...