BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,660
- 24,393
Wale jamaa wa lile genge ovu wanakomeshwa kweli kweli chini ya Kamanda Hangaya (Chui Jike).
Nadhani wote mnalifahamu jina la lile genge. Naomba nisilitaje hapa.
Kwa sasa wananunua petroli elfu nne kwa lita moja.
Vile vile wanakomeshwa kwa makato ya tozo za miamala. Hakika watakiona cha moto.
Wakitoa pesa ni kipigo, wakiweka ni kipigo. Raha iliyoje?
Bidhaa wanauziwa kwa bei ya juu kiasi kwamba wanajuta kuwa wafuasi wa bwana yule!
Sisi wafuasi wa Hangaya roho zetu kwatu. Uchumi umefunguka tunaokota hela barabarani.
Ahsante mama. Unaupiga mwingi.