Mhe. David Kafulila akimkabidhi Katiba ya JMT Mkuu Mpya wa Mkoa Mh. Dkt Yahya Mawanda kama nyenzo yake ya kufanyia maamuzi
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mh. David Kafulila amesema kwamba...
Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akiwa katika mwendelezo wa ziara zake kanda ya Magharibi amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema " Chama cha Mapinduzi...
SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI.
===
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi...
==
SHAKA HAMDU SHAKA AWATAKA WATUMISHI KOTE NCHINI KUFIKA KWA WANANCHI KUSIKILIZA KERO NA CHANGAMOTO MBALIMBALI.
Na Mwandishi Wetu, Sikonge
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha...
Taarifa kutoka kwenye viunga vya Mahakama inaonyesha kwamba kuanzia tarehe 26/8/2022 , ile kesi ya Mamluki Halima Mdee na wasaliti wenzake ya kupinga kutimuliwa Chadema, itasikilizwa mfululizo...
Mwekezaji Mzawa wa Kiwanda cha kuzalisha nguzo za umeme cha TAWOODS, Peter Mwera amelazimika kufunga kiwanda chake baada ya kupata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja kutokana na kukosa...
Ni katika kipindi cha Kipima Joto ITV, ambako afisa Karugendo kutoka NBS amesema kamwe wanaume hawataulizwa wana watoto wangapi kwa sababu kisayansi wanaozaa watoto ni wanawake.
Source: ITV
Ndugu zangu mimi sitaki kuandika sana ila kiukweli kabisa serikali yangu inapoelekea itatufanya tuwe masikini hasa wale wakipato cha chini.
Embu tuseme ukweli mnakusanya kila aina ya kodi yani...
Sawa sikatai mmenipa mkopo nimesoma kwa mkopo wa HESLB sasa hata matokeo sijapata ya mwaka wa mwisho nimemaliza chuo mwezi wa saba mwaka huu na mwezi wa nane mnaanza kunikata kweli jamani...
Karani lasema atarudi mara ya pili kuhesabu makazi
Ndio nauliza hii ni Sensa ya Watu na Makazi au Sensa ya Watu inajitegemea na ya Makazi inajitegemea?
Mungu wa mbinguni awabariki
Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na...
Mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu watu kwa mwaka 2022, tofauti na miaka mingine je, ni kweli yana tija kwa wananchi wa kawaida?
Mabadiliko hayo baadhi ni pamoja na:
1: kubadilika kwa mihula ya...
Hakuna kingine communism inafanya isipokuwa kuwahudumia politiburo, mfumo wa Tanzania haukuundwa kujali mtu wa kawaida bali ni kwa ajili ya wale walio juu na hilo ni kuanzia Serikalini, Mashirika...
Ni saa 5;50 tarehe 26/08/2022.
Kichwa Cha habari kinajieleza kinatutaka Kila kijana wa kitanzania, mtu mzima wa Tanzania, ambao wote tupo nje ya mfumo WA utawala tunapata picha gani ya maisha ya...
MAMIA ya wakazi wa jiji la Arusha wamejitokeza kwa wingi kushiriki maandamano makubwa ya kuhamasisha zoezi la sensa ya watu na makazi yaliyoandaliwa naTaasisi ya dini ya kiislamu ya Twarika...
Nimekaa tu na kujiuliza kama raia wa kawaida kwamba serikali yetu inakopa na inaendelea kukopa, na inaonekana kila inapotokea uhitaji au upungufu wa aina yoyote, ufumbuzi unaowajia viongozi wetu...
Shinikizo na uchovu unaokuja na kazi ya Udaktari umesababisha wengi wao kuripoti kazini wakiwa wamelewa, ripoti mpya imefichua.
Kulingana na utafiti wa All Points North (APN), kampuni ya afya ya...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi...
Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John...