Rais Samia amesema malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda kwa mahakama yamepungua kwa kiasi kikubwa ambako kumetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na majaji wanawake.
Kwa sasa amesema...
Kamisaa wa Sensa Mh. Makinda amesema asilimia 93 ya Kaya zimehesabiwa na haya ni mafanikio makubwa
Makinda amesema wale wote wasiohesabiwa wapige Call Center Dodoma na utaratibu utafanyika ili...
CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA
RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua...
Habari!
Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza.
Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Tanzania na Kenya hazitonufaika na msamaha wa kufutiwa mikopo na riba uliotangazwa na China kwa nchi 23 maskini za bara la Afrika(LDCs).
Kwa mujibu wa mamlaka za...
Hapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.
Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema...
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni...
Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu.
Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia...
mfumuko wa bei
doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?
Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu...
Hizi siasa za kiongozi fulani anamiliki kitu fulani ni za kizamani enzi za CCM ya Ujamaa.
Kuna wakati ilivumishwa Mzee Cleopa anamiliki mabasi ya Rombo Investment na wengine wakadai Mwanamboka...
Taarifa sahihi ndio msingi wa umoja na mshikamano, kama Taifa tunahitaji kila Mtanzania apate taarifa sahihi kutoka katika vyanzo sahihi. Serikalini katika kila wizara, halmashauri au taasisi...
Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna...
Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi
Summary
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar...
Leo waziri Biteko gavana wa benki kuu ndg Luoga, wakuu wa mikoa ya Manyara na Kilimanjaro pamoja na viongozi wengine walikua mererani kwaajili ya makabidhiano ya mawe mawili ya tanzanite yenye...
Makamu mwenyekiti wa ADC mh Shaban Itutu amesema ni vema waziri Mwigullu Nchemba akaachana na mambo ya Tozo na Makato ya benki kwani ni kuwatesa bure Wananchi
Itutu amesema hauwezi kuongeza wigo...
Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk...
Malaika Mkuu Mikaeli ndio hutusaidia wanadamu kumpiga vita shetani na kutupa ulinzi wa uhakika, Gablieri hutuletea taarifa za mbinguni na Raphael hutusimamia katika uponyaji. Magufuli alichagua...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
ORODHA YA MASWALI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
Maswali yote ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanatakiwa kujibiwa na Mkuu wa Kaya husika...
Hiyo ni kwa mujibu wa Kenyans.co.ke walioweka swali kupitia ukurasa wao wa Twitter kwamba "Je, iwapo Afrika Mashariki ingeongozwa na mmoja wa marais wanne walio madarakani, nani angefaa?"
Mpaka...