Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna tofauti kubwa sana za utashi na utendaji kati ya hayati JPM na mama SSH. JPM, alijitahidi sana kuishi maisha ya watanzania. Namaanisha watanzania walio wengi. Wenye hali inayoendana na...
40 Reactions
307 Replies
17K Views
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Wakati wa Sherehe za miaka 10 ya BBC Dira ya Dunia waziri Makamba alisema anapenda akumbukwe kwa jinsi alivyoitokomeza mifuko ya plastic nchini. Lakini wiki hii...
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar. Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya...
5 Reactions
70 Replies
7K Views
BARUA YA WAZI KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Mh Rais Pole Kwa majukumu, Mimi naitwa Emanuel Magoya Lucumay ni mkazi wa jimbo la Hai, nimelazimika kuandika barua hii kuelezea kilio cha familia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya ndo matokeo ya kufanya kazi kwa akili na sio maguvu! Jarida maarufu nchini Israel la The Times of Israel limeripoti kuhusu Waisrael kuja kufanya uwekezaji mkubwa Zanzivar ikiwemo kujenga...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu. Pia kuna data...
45 Reactions
152 Replies
12K Views
Kuna nchi zina kodi moja tu. Halafu kuna nchi zina sheria iliyoweka ukomo wa kodi. Bahati mbaya sana kwa Tanzania, tuna mfumo laghai wa kodi. Serikali huweza kuwadanfanya wananchi eti imepunguza...
3 Reactions
1 Replies
582 Views
Mdee na wenzake wamekubaliwa kupeleka pingamizi. Chadema wameangukia pua. Niliwahi kuuliza lini Hawa mawakili vishoka wa chadema wameshawahi kushinda kesi? Hadi leo sijawahi kupewa jibu Viva...
3 Reactions
99 Replies
6K Views
Nimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Mahakama Kuu imeridhia mawakili wa wabunge 19 wakiongozwa na Halima Mdee kuwasilisha mapingamizi yao ya awali ili yasikilizwe kabla ya kuendelea na kesi ya msingi. Uamuzi huo imetolewa leo...
1 Reactions
4 Replies
828 Views
Waziri wa afya ameshatoa yake kuhusu shirika la Bima NHIF kushindwa kujiendesha na kuelemewa na mzigo. Muathirika mkubwa ni mwananchi wa kawaida kwasababu wafanyakazi na wanasiasa hawatokosa fedha...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Taarifa ya Ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali barua ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.
1 Reactions
4 Replies
675 Views
Kibuyu kinaelekea kuisha asali Zuhura yunus mkumbushe mama kuna mtu asali yake imeisha
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Ndugu zangu hii UVCCM ya sasa ina shida gan? Zamani ilikuwa jambo la kawaida uvccm ikiwa kwenye shughuli zake inaweza kufadhili hata miradi ya maendeleo vijijiini na mikoani. Yaani ile UVCCM ya...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Umekua wimbo sasa ,ruzuku ya mbolea, ruzuku ya mbolea, lakini kati kati ya mbolea na uhakika wa mvua kipi bora? • Tanzania hatuvuni maji, maji mengi sana yanapotea, lakini hatuna uhakika na mvua...
1 Reactions
3 Replies
427 Views
Kiukweli pale NEC pangekuwa na watendaji mafisadi basi ule uchaguzi wa 2020 ungehujumiwa. Ikumbukwe mmoja wa Wagombea wetu wa uRais anaishi bara la Ulaya Ndugu zetu hapo upande wa pili wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbunge wa kigamboni ndugu ndugulile ameamka asubuhi na kuona nchi inapotea mithili ya ngedere wa lumumba
1 Reactions
6 Replies
734 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Ndugu. James Mbatia, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Taarifa kutoka mahakamani zinaonyesha kwamba wabunge wasio na chama ambao waliishitaki CHADEMA mahakamani, wakipinga kutimuliwa kwenye chama hicho. Wanaoongozwa na mamluki Halima Mdee, ambao tena...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…