Jaji kutolea maamuzi mapingamizi ya Mdee na wenzake leo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,387
Reaction score
289,513
Taarifa kutoka mahakamani zinaonyesha kwamba wabunge wasio na chama ambao waliishitaki CHADEMA mahakamani, wakipinga kutimuliwa kwenye chama hicho. Wanaoongozwa na mamluki Halima Mdee, ambao tena wameweka mapingamizi kwenye kesi yao wenyewe, uamuzi wa pingamizi lao unatarajiwa kutolewa mchana huu .

Usiondoke Jf.

UPDATES
========
Mahakama imekubali Mapingamizi ya akina Mdee yasikilizwe kwanza Kabla ya kesi ya Msingi .
 
JamiiForums753274111.jpg
 
Hii Nchi ya Ajabu sana ,Nchi maskini lakini bado tunapoteza pesa nyingi kwa vitu kama hivi .Kuna haja ya Halima mdee na wenzake wakishindwa kesi walipe pesa zote walizo nufaika kupitia huo ubunge .
 
Majibu yanajulikana kwahiyo Wala hata msihangaike kuyasubiri.

Kichwa cha samaki kimevunda (kinawahitaji akina Mdee) hata mkia wake utakuwa umevunda (maamuzi yatabariki wabakie).
hebu fafanua kidogo
 
Taarifa kutoka mahakamani zinaonyesha kwamba wabunge wasio na chama ambao waliishitaki CHADEMA mahakamani, wakipinga kutimuliwa kwenye chama hicho. Wanaoongozwa na mamluki Halima Mdee, ambao tena wameweka mapingamizi kwenye kesi yao wenyewe, uamuzi wa pingamizi lao unatarajiwa kutolewa mchana huu .

Usiondoke Jf.
Msituchoshe kwa sasa yupo Nairobi Kenya
 
Taarifa kutoka mahakamani zinaonyesha kwamba wabunge wasio na chama ambao waliishitaki CHADEMA mahakamani, wakipinga kutimuliwa kwenye chama hicho. Wanaoongozwa na mamluki Halima Mdee, ambao tena wameweka mapingamizi kwenye kesi yao wenyewe, uamuzi wa pingamizi lao unatarajiwa kutolewa mchana huu .

Usiondoke Jf.
Updates ziko wapi papaa?
 
Subiri uone maajabu ya mahakama zetu! Kangaro courts... MAAGIZO YA HANGAYA
 
Nimesema hapo Hamna Jaji, ni maagizo toka Dodoma.
Kwenye kesi ya kupinga urais Jtatu hukumu, upuuzi huu unamchukia miaka 3
 
Back
Top Bottom