Mmetoa ruzuku ya mbolea, vipi ruzuku ya mvua?

Mmetoa ruzuku ya mbolea, vipi ruzuku ya mvua?

makwagejo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
410
Reaction score
316
Umekua wimbo sasa ,ruzuku ya mbolea, ruzuku ya mbolea, lakini kati kati ya mbolea na uhakika wa mvua kipi bora?

• Tanzania hatuvuni maji, maji mengi sana yanapotea, lakini hatuna uhakika na mvua au kilimo cha umwangiliaji alafu mtu anajitokeza anasema kilimo kwa sasa n tozo inenda kutatua tatizo la ajira,

• Tunakwenda kupata hasara tena kuto kutokana na mabadiliko ya tabia za nchi,tutaweka mbolea mvua tizi hakuna tutakchopata.

• Tumetajilisha wakulima wakubwa tu, hawa wanoitimu chuo kikuu watasafisha vyoo vikuu vya stendi, tunapaswa kua na uhakika wa ma ji kwanza.
 
Tunamshukuru mhe rais Samia Suluhu Hassan mwaka huu joto hakuna Dar Es Salaam
 
Mzee Mzindakaya aliwahi kusema," Kilimo siyo siasa, huwezi kusema tu "Mahindi Hoyee" halafu yakaota".

Maeneo mengi schemes za umwagiliaji ni kama haukufanyika upembuzi yakinifu.
 
Back
Top Bottom