K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,663 Reaction score 15,225 Sep 2, 2022 #1 Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.
Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,450 Sep 2, 2022 #2 Atakumbukwa pia kwa kumtandika mpinzani wake bakora mpaka akazima wakati wa uchaguzi
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,152 Reaction score 75,620 Sep 2, 2022 #3 Ametupwa Huko, Hasikiki
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,696 Reaction score 65,331 Sep 2, 2022 #4 Umesahau picha ya rais wa Mbeya a.k.a Sugu. Yote haya aliyasababisha Ndugai
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,572 Reaction score 45,464 Sep 2, 2022 #5 Nakikumbuka alivyomrudisha kihuni Bw. Cecil Mwambe pale Bungeni huwa naona huyu jamaa alikuwa zero brain kabisa
Nakikumbuka alivyomrudisha kihuni Bw. Cecil Mwambe pale Bungeni huwa naona huyu jamaa alikuwa zero brain kabisa