Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa...
Ni simple tu
Kodi ya Mapato hukatwa kwenye Jumla ya Mapato anayopata mlipa kodi iwe kwa Siku, Wiki, Mwezi au Mwaka
Mshahara ni sehemu tu ya Mapato ya mlipa kodi
Kiuhalali hata Mtumishi wa...
Wakati Serikali ikikiri kupokea maoni mbalimbali kuhusu tozo za miamala ya simu na kuahidi kuyafanyia kazi ndani ya kipindi kifupi, wadau wamelinyooshea kidole Bunge kwa kupitisha sheria ya fedha...
Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo, iliyoketi kwa siku mbili mfululizo imewapitisha Ado Shaibu na Pavu Abdallah kuwania nafasi ya ubunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala).
Kamati Kuu hiyo iliketi...
Awamu ya sita endeleeni kuua kila kitu maana usimamizi siyo kwenye afya siyo kwenye mambo mbalimbali yanayohusu mmebaki kuchukua chenu mapema huku tozo zikiongezeka. hivi kweli unawezaje kupunguza...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa matishio ya Amani na Usalama yameendelea kubadilika muda wote, na hivyo kuongeza umuhimu wa utafiti...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Lawrence Tax (Mb) amezindua Kikao cha Kwanza cha Kamati Tendaji ya Jeshi la Kujenga Taifa, baada ya kuiunda rasmi tarehe 12 Agosti, 2022...
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) wakifuatilia kwa makini mada kuhusu utekelezaji wa miradi ya kikanda ya miundombinu ya EAC iliyokuwa ikiwasilishwa na...
TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA
Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau...
Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36.
Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Francis Michael, amesema Mabadiliko ya Mitaala ni swala pana ambalo linatakiwa liangaliwe kwa Upana wake. Katika Kufanyia Elimu Mageuzi...
Katibu inaweza kubadilishwa kwa manufaa ya taifa. Ushauri wangu, Zanzibar hainufaiki kwa elimu na afya kwasababu ya udogo wake. Tanzania bara tuna nufaika na kutumia mbinu zinazofanana kuanzia...
Malipo kwa ajili ya makarani, watu wa Tehama na maudhui yalikadiriwa na kuainishwa yawe yamekamilika ndani siku 10. Yaani siku 5 za semina na siku 5 nyingine za kufanya kazi.
Lakini tumeshuhudia...
Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha...
Kuna baadhi ya mitandao ya simu inafantanya hujuma na kutakatisha pesa kwa kukwepesha Tozo kwa huduma ya LIPA!
Wenye maamlaka ingilieni kati wote tulipe sawa tugawane mzigo, huenda tija ikawa...
Wengi wetu sisi hatuna "makazi" ni homeles au watoto wetu au ndugu zetu wenye miaka 18+ na kuendelea. Ni jambo la kawaida kwa wakati fulani kukosa makazi sio kila mtu ana bahati ya ndugu au...
Uchaguzi wa Kenya umekwisha,lakini mshindi wa kiti Cha urais aliyetangazwa na tume huru ya uchaguzi ,ya Kenya RUTO bado hajazibitishwa kwa kuwa mpinzani wake wa kitu hicho ,Raila Odinga ...
Ifahamike mazao hulimwa na wakulima kisha kulanguliwa na wafanyabiashara, tena yakiwa shambani na kwa bei ndogo sana.
Kinana aambiwe ya kwamba lazima tuwe na utaratibu wa kuuza nje na kuingiza...
Pia ameshauri kufanyika kwa mabadiliko ya sheria kwa watumishi wa serikali kwa kupewa mikataba ya muda ya ajira ili waache kufanya kazi kwa mazoea.
Mahawe aliyasema hayo juzi wakati Makamu...
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni, amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni, ambapo ameliomba jeshi la polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii)...