Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mama anaupiga Mwingi. Mama kauli zake ni kama zinapigwa na upepo zinapotelea mbali kabisa hakuna anaye zifanyia kazi. Chukulia swala la yeye kuhusu trafiki kula rushwa, hii kauli alisha irudia...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Wakuu samahani sana kuna jambo nataka kujifunza, nimekuwa nikisikia nchi nyingi sana nyingi za Ulaya na chache za Africa, wakuu wa nchi wakisalimu amri ya wananchi na kutoka kwenye kiti cha...
4 Reactions
15 Replies
820 Views
Rais ameiagiza wizara hiyo kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na kutoa utaratibu kama bado kuna haja ya wananchi kuendelea kutumia barakoa. Amesema “Inaonyesha watu wamechoka...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mzee Kinana ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM anazunguka mikoani kwa kile kinachoitwa kukagua uhai wa chama chake. Katika ziara hiyo tumemsikia akiagiza hili na lile, ikiwemo amri yake kwa...
10 Reactions
43 Replies
5K Views
Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa. Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana...
19 Reactions
35 Replies
3K Views
Naomba nisinukiliwe vibaya na haya sio maneno yangu bali ni wanachadema wenyewe.. Source Nopashe 👇
1 Reactions
13 Replies
929 Views
Je, African Continental Free Trade Area (AfCFTA) ni nzuri kwa Tanzania? Mimi nadhani tunge anza kwanza na Sub-Saharan Africa Free Trade Area. Hii tuna weza kuiita Savannah Africa Free Trade...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza. Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK)...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
CHADEMA inajiendea tu kama tembo asiye na kichwa. Nampendekeza John Heche awe Makamu Mwenyekiti Mkaazi wa CHADEMA hapa Tanganyika.
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Hadi sasa kuna kampuni nyingi za bima ya afya nchini ikiwemo NHIF. Cha ajabu, katika mazingira sawa ya kibiashara licha ya NHIF kuwa na upendeleo wa kuwa na wanachama wengi kuliko kampuni zote za...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
The government does not, indeed, waylay a man in a lonely place, spring upon him from the roadside, and holding a pistol to his head, proceed to rifle his pockets. But the robbery is none the less...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Tatizo la NHIF mpango kazi wao hauendani na mapato yao, na hii ni kwa sababu hakuweka watu sahihi katika kutengeneza, mpango kazi katika shughuli zao za kila siku na mipango yao ya muda mfupi na...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Martin Maranja Masese , Mwanasiasa chipukizi kutoka Kanda ya Serengeti , ama kiboko ya mitandao au waweza kumwita MFICHUA PGO , hasa baada ya kusimama kidete na kurusha dunia nzima kesi ya Ugaidi...
27 Reactions
74 Replies
5K Views
Wanabodi, Mhe. Samia alifanya ziara huko Zanzibar kwenye eneo la Kizimkazi mahali pa asili yake. Cha ajabu (sijui labda uelewa wa wengine sio ajabu) miongoni mwa viongozi wakuu watatu wa Zanzibar...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Thread hii iwe ndo thread kuu itakayosheheni Nukuu za Amri Jeshi na rais wa JMT Samia Suluhu. Usisite kuweke nukuu yake ukikutana nayo. “Kwa wale ambao wana mashaka Mwanamke huyu...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Very simple Serikali iwe na utaratibu wa kuvuna wanyama wa porini kama Pofu, Swala, Tembo, Kiboko, Nyumbu, Mwamba nk na kuwauzia Wananchi Zoezi hili likikubalika mambo ya Tozo yatabaki...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Tuiogopeni technology hakika!
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama tungekuwa na Wakulima wakubwa 10 tu aina ya Rodrick Mahenge basi Tanzania tungelisha Africa Mashariki Hivi sasa UN wanahitaji Mahindi ya kuilisha Somalia lakin tunaikosa Fursa hiyo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna ugonjwa wa akili umeingia kwa watanzania Ugonjwa huo ni "Poor Conclusion without consultation" ambao umetokana na PMD yaani badhi ya watanzania hata watangazaji baadhi wa vituo vya redio na...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…