Tunajua nyie mmeshika mpini sisi tumeshika makali tunaomba sasa mwachieni Balozi Polepole tunaomba sana mwachieni Tundu Antipas Lissu hawa ni watanzania wenzetu tunapkosana na kukosea tujifunze...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kesho Mei 2 ataongea na Watanzania Makao Makuu ya chama saa sita kamili mchana! Kaa tayari kusikia atachokisema
MEI MOSI 2026📌
💡Rais amesema: “Ni wajibu wetu sote kushirikiana, kuaminiana na kutanguliza maslahi ya Taifa. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi ili kujenga uchumi imara na...
Sote tunajua dawa ya deni ni kulipa, kukaa na kujisifu bado unakopesheka sio sifa ni upumbavu
Au kwa kuwa bond umeweka nyumba ya jirani wewe halikuhusu kwamba jirani atalilipa so wewe kazi yako...
Inadaiwa kwamba ndiye aliyekuwa Mgombea mwenza wa kilichoitwa Uchaguzi wa Urais wa Oktoba 29 kwa ticket ya NCCR MAGEUZI, Maana yake alikuwa mwanachama wa chama hicho
Zaidi ya hapo hatujui LOLOTE...
Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi
1. Idadi ya watu milion 67+
2...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026.
Rais Samia amezungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya...
Hakuna uchaguzi halali uliofanyika ile Oktoba 29 mwaka jana.
Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia rais wa taifa letu akiapishwa na Wanajeshi kwenye viwanja vya jeshi.
Wananchi mpaka sasa wameichukia...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia...
Maandamano hayo ya amani ya kitaifa, yazilaani AZAKI na vyama vya siasa ambavyo kwa makusudi kabisa, vilishiriki kuhamasisha na kuchochea fujo na maafa yaliyotokea Oct.29.2025.
Lakini pia...
Mh. Spika Refa kutoka Kenya Alichezesha vizuri na fainal ya Simba na Yanga kila mtu ameridhika.
Je hatuoni ni wakati sahihi sasa kuleta pia wageni katika nyanja mbalimbali kama Urais, Uwaziri...
Natoa wito kwa walimu Tanzania nzima kujiunga na Chadema na kuchukua kadi na kuichangia Chadema kwa gharama yoyote.
Haina maana walimu kuwa tunakatwa pesa nyingi kuichangia CWT wakati ni kibaraka...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wa Kenya Mheshimiwa William Rutto Anatarajiwa kuwasili Nchini kwa ziara ya kikazi Kwa Mualiko Maalumu Wa Rais wetu Mpendwa na Mbeba Maono wa Taifa letu Mheshimiwa...
George Michael Uledi.
May 2,2026.10:30 AM
Jana May Mosi kurasa rasmi za Chama na zile za makada wa Chadema zilibeba "dhihaka,kashfa na uzandiki" dhidi ya Serikali na hoja kubwa ilikuwa kwanini...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho CCM inakwenda kuzungumza na Taifa na kutoa muelekeo wa masuala mbalimbali Kitaifa na Kimataifa. Ambapo kupitia Muenezi wake Taifa Mheshimiwa Sana Kenani...
Matukio mbalimbali katika Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame akizungumza na...
Tugawane nchi katikati mikoa 13 kila upande ili kila mtu aishi kwa amani anapopenda, CCM wabaki na kipande chao (pamoja na Zanzibar)waishi kwa hii katiba yao na mifumo yao ya maisha , majeshi yao...
"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu.
Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Rwanda zimefikia makubaliano ya kuondoa vikwazo visivyo vya kikodi pamoja na changamoto nyingine za...
Wanabodi,
Watch TBC live,mapokezi ya Rais Paul Kagame wa Rwanda,(Paulo Mrefu)
Paskali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri...