Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niko nafanya kautafiti fulani jibu lako kutakuwa la msaada sana Ahsante
0 Reactions
1 Replies
254 Views
MICHEZO MASHULENI INA NAFASI KUBWA YA KUDUMISHA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - BASHUNGWA Na OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe...
1 Reactions
1 Replies
522 Views
Asasi ya HakiElimu imependekeza umri wa kupiga kura uanzie miaka 14 badala ya 18 ya sasa Mapendekezo hayo yamefuatia utafiti maalum uliofanywa na taasisi hiyo Source ITV habari
2 Reactions
25 Replies
1K Views
KAMATI YA BUNGE NA WIZARA YA MAJI KAZI MPAKA USIKU KUSHUHUDIA JITIHADA ZA UPATIKANAJI MAJI DODOMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso na timu ya Wizara ya Maji pamoja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi...
1 Reactions
6 Replies
914 Views
Haliwezekani Addo Shaibu aachwe wakati chama chake kimeungana na CCM kule Zanzibar Ni dhahiri umaarufu wa Zitto Kabwe unashuka kwa kasi ya mwanga
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Saalam wote! Wananchi kwa sasa hawana imani na serikali yao na hasa bunge. Kuwepo kwa mitandao ya kijamii kumewawezesha wananchi kusema kero zao na hasa kuwakosoa viongozi wabadhirifu na wezi wa...
7 Reactions
6 Replies
660 Views
TAARIFA KWA UMMA. Jana tarehe 22 Septemba 2022, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilifanya Uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA). Mimi nilikuwa mgombea...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Bakwata shehe Khamis Mataka amesema Viongozi wa dini ndio walifanya utafiti na kuishawishi serikali kuandaa muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Mjadala unaendelea...
2 Reactions
4 Replies
772 Views
Nawasalimu watanzania wote kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Serikali Ina watendaji na rasilimali nyingi sana, ila serikali wanapenda...
2 Reactions
4 Replies
685 Views
Kwa kawaida matendo mema huishi hata tujapo kufa Jana bunge liliripuka kwa furaha pindi Daktari Mwigullu alipowakumbusha wabunge moja ya kazi njema za Hayati Maguful Shujaa wa Taifa Ama kwa...
18 Reactions
41 Replies
2K Views
Wanabodi, Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, presenter...
41 Reactions
102 Replies
11K Views
Muundo wa Bavicha Kuwa kama Idara ya Vijana wa Chadema kunaifanya Iwe Legevu na tegemezi siku zote. Jaribu kufikiria Bavicha Wana miaka 30 lakini hawana Hata kibanda cha ofisi kama cha kukagua...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
ZIKO WAPI TRILIONI 360 ZA WATANZANIA? JE NI KESI YA MADAI HALALI AU MADAI HEWA? JE MAWAZIRI WA FEDHA WANATOSHA AU HAWATOSHI? Leo 12:15hrs 23/09/2022 Ndugu zangu Mh Luhaga Mpina ni Mbunge pekee...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Naibu Spika, Mussa Hazzan Zungu ameishauri Serikali kuona umuhimu wa kuzifanya huduma za njia za ‘internet’ (internet gateway) zichangie pato la Taifa (GDP). Zungu amesema hayo kwenye mahojiano...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Zilianza idara za serikali, taasisi mbali mbali na sasa kaingia mwali mpya...karibu sana TCRA! Ushuru, kodi, faini, adhabu, malipo, ada, karo, tozo...what's in a name? Lengo ni mapato. Mlengwa ni...
5 Reactions
11 Replies
993 Views
Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu...
47 Reactions
254 Replies
19K Views
Habari zenu marafiki na maadui zangu, Cheo cha Urais Tanzania siku zote kimekuwa ni cheo cha 'Rais Mtendaji' na siyo 'Ceremonial President' (msaada wa tafsiri ya Kiswahili). Hata Marais kama...
13 Reactions
39 Replies
4K Views
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetenga shiligi bilioni 752 kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali kupitia Mradi wa Elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi (HEET)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serekali ya Tanzania naomba muingilie kati kuhusu wakimbizi hasa hasa ambao tumezaliwa katika INCHi yenu uko na kukomalia uko Katika inchi zetu za asili kama drc tumekuwa kama ni wageni kabisa...
0 Reactions
1 Replies
556 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…