Serekali ya Tanzania tusaidie sisi ambao tumekuwa kama mayatima

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Serekali ya Tanzania naomba muingilie kati kuhusu wakimbizi hasa hasa ambao tumezaliwa katika INCHi yenu uko na kukomalia uko
Katika inchi zetu za asili kama drc tumekuwa kama ni wageni kabisa kupata cheti chochote kile imekuwa shida kweli kwetu wanatuchukulia kama wageni tu
Yaani mtu anaulizwa maswali mpaka unajiuliza hivi kweli hii ndo inchi yangu au bado mimi ni mgeni tu
Nilikuwa naomba serekali ya tanzanie iwakumbushe kule Kongo kuwa Tanzania kuna wakimbizi wao waje wachukuwe watu wao au kutupa vyeti kutoka drc mfano kama vile vyeti ya kuzaliwa vya clinic na vingine hivi mnavyo tupa uku katika inchi zetu za asili vinatutesa kabisa wanatuchukulia kama watanzania tu
 
ombeni kurudi bongo mapori kibao!
 
Back
Top Bottom