Bavicha ijengwe kitaasisi na iwezeshwe kumiliki Mali na Miradi mikubwa kama walivyoendelea wenzao UVCCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Muundo wa Bavicha Kuwa kama Idara ya Vijana wa Chadema kunaifanya Iwe Legevu na tegemezi siku zote.

Jaribu kufikiria Bavicha Wana miaka 30 lakini hawana Hata kibanda cha ofisi kama cha kukagua tiketi za Mabasi

Hapa siko kiitikadi nashauri Bavicha wafike Makao makuu ya UVCCM pale Morogoro road wajifunze mambo mbalimbali ya kimaendeleo

Bavicha ni sawa na Jibaba la miaka 30 linaloishi kwa Wazazi wake na Kuwa jitu la kutumwa tumwa tu kama mbwiga!

Nasema haya kwa uchungu kwa sababu nilishiriki kuasisi Bavicha
 
UVCCM haina lolote, walivyonavyo kama vipo anyway ni mali ya UMMA maana viliporwa na CCM kutoka mali ya umma wakati wa chama kimoja!
 
Muundo wa Bavicha Kuwa kama Idara ya Vijana wa Chadema kunaifanya Iwe Legevu na tegemezi siku zote.

Jaribu kufikiria Bavicha Wana miaka 30 lakini hawana Hata kibanda cha ofisi kama cha kukagua tiketi za Mabasi

Hapa siko kiitikadi nashauri Bavicha wafike Makao makuu ya UVCCM pale Morogoro road wajifunze mambo mbalimbali ya kimaendeleo

Bavicha ni sawa na Jibaba la miaka 30 linaloishi kwa Wazazi wake na Kuwa jitu la kutumwa tumwa tu kama mbwiga!

Nasema haya kwa uchungu kwa sababu nilishiriki kuasisi Bavicha
Naunga mkono hoja, tena kitu cha kwanza kabisa kwa mabaraza haya yote matatu, Bavicha, Bawacha na lile la Wazee, they have never been constituted, hivyo interms of instruments, they are just phantoms!, hayana wanachama wala hawana kadi!.

Hili nililibaini walipowatimua kina Shonza Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  1. Nikirudi kwenye "uanachama" wa kinaicho itwa "BAVICHA", ilipaswa baada ya mwanachama kupata uanachama wa CHADEMA, ndipo aombe rasmi uanachama wa BAVICHA, na kupewa kadi ya BAVICHA, ili inapotokea BAVICHA kutumia mamlaka yake (5:4:6) kumvua mwana BAVICHA, u-BAVICHA wake, ambao ndio ungepelekea mwanachama huyo kupoteza uanachama wake wa CHADEMA, lakini imethibitishwa "pasi shaka" kuwa hukuna kadi yoyote ya "Bavicha" iliyokuwa 'issued" hivyo japo BAVICHA does real exist in books as a body, kwa mujibu wa sheria, ili BAVICHA hiyo iwepo kihalali, "it has to be constitued by its members" bila legal members, Bavicha haipo kisheria hivyo kuna uwezekano hii Bavicha iliyopo, its not real!, it is fake, its only "porpoted to exist", in realty kisheria "BAVICHA doesn't exist!, hivyo haina mamlaka ya kisheria ya kumvua mwanachama wa CHADEMA, uanachama wake!. Ikithibitika wapo wanachama wa CHADEMA wenye kadi ya uanachama wa BAVICHA, then hii point nita i strike out!.
  2. Kanuni ya kwanza ya haki ni "no body is condemned unheard!". Yaani hakuna yoyote atakayehukumiwa bila kusikilizwa!. Kuna mtuhumiwa aliyehukumiwa in "absentia" na huku kuna mtuhumiwa mwingine ambaye hakuhukumiwa kwa vile hakuwepo!, "What a double standards?!".
  3. Nawashauri wote waliovuliwa ule u "phantom membership" wa "phantom BAVICHA", wakate rufaa ya kupinga kufukuzwa kwao ASAP kwenye CC ya CHADEMA.
  4. Naishauri CHADEMA kwanza ihakikishe kuwa Bavicha ina exist kisheria na kikanuni kwa kuwa na wanachama wake in reality na sio by assumption ili iweze kuwawajibisha in reality, kwa vile hawa waliopo ni porpoted members by asumption only, hawawezi kumpotezea mwanachama membership yake ya halali, in reality Bavicha doesn't exist!.
  5. Nashauri uongozi wa juu wa CHADEMA, wala usisubiri waliofuzwa wakate rufaa bali CHADEMA i act in "sue motu" kwa kuissue "stay order" statement to put aside ule uamuzi batili wa BAVICHA mpaka hapo CC ya Chadema itakapokutana!. Wasipofanya hivi, karma ya dhulma hii itakuja kuwatafuna Chadema mbele ya safari, na Chadema kuwajibika kuilipia kwa a very high price, at the same time, wote waliofukuzwa Chadema kwa kuonewa, kwa dhulma na kufukuzwa kama mbwa, karma itawalipia kwa kuwafariji na kokote watakapo kwenda, watainuliwa, na Chadema itakuja kujuta kuwapoteza.
  6. Nawasisitiza Chadema kutenda haki ili pia kuepuka hukumu ya kitu kinachoitwa karma isije kuwakumba kwa siku za usoni. Ukiwatendea watu uovu au ubaya kwa kuwaonea, bakora za karma ya uovu ule zitakuja kuitandika Chadema siku zijazo.
Wito faraja kwa wadhulumiwa wote wanaonyanyaswa na kudharauliwa kwa ajili ya kupigania haki ndani ya Chadema hadi kufukuzwa kama mbwa!. Kama nyinyi ni watu wa haki, msihofu na kutimuliwa Chadema, Mungu yupo na ni mkubwa zaidi ya Chadema. Mungu atawasinamia na kokote muendako atawainua na kuwalipia, itakuwa ni story ya ," jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe Kuu la pembeni", mnaweza kuinuliwa hadi Chadema kuja kuwapigia magoti huko mbele ya safari.

Ushauri huu lengo lake ni kutuaminisha sisi Watanzania wengine tusio wanachama wa CHADEMA, kuwa Chadema ni chama cha haki na kinafanya maamuzi yake kwa haki kufuata misingi ya sheria, taratibu na kanuni za haki, hivyo kutupa matumaini kuwa CHADEMA inaweza kuaminika na kukabidhiwa nchi mwaka 2015!, vinginevyo kwa mambo haya kama yalivyo sasa, na kama CHADEMA haitabadilika, then kwa 2015 CHADEMA itakuwa bado haijakomaa kiasi cha kutosha kuaminika na kukabidhiwa nchi!.

Naomba Kuwasilisha.

Pasco
P
 
Muundo wa Bavicha Kuwa kama Idara ya Vijana wa Chadema kunaifanya Iwe Legevu na tegemezi siku zote.

Jaribu kufikiria Bavicha Wana miaka 30 lakini hawana Hata kibanda cha ofisi kama cha kukagua tiketi za Mabasi

Hapa siko kiitikadi nashauri Bavicha wafike Makao makuu ya UVCCM pale Morogoro road wajifunze mambo mbalimbali ya kimaendeleo

Bavicha ni sawa na Jibaba la miaka 30 linaloishi kwa Wazazi wake na Kuwa jitu la kutumwa tumwa tu kama mbwiga!

Nasema haya kwa uchungu kwa sababu nilishiriki kuasisi Bavicha
Hakuna tofauti kati ya mali za ccm na serikali,ccm wanamiriki viwanja vya mpira,walivitoa wapi,kwa pesa gani?mali nyingi za ccm ziliapatikana kipindi Cha Nyerere,chama kimeshika hatamu,wananchi wote walichsngia ccm,na serikali ilitumika kukinufsisha chama,wanajeshi,polisi,mawaziri wote na wakurugenzi wote ni ccm by defaulty!
 
Hapa nimezungumzia mali za UVCCM
 
Hapa siko kiitikadi nashauri Bavicha wafike Makao makuu ya UVCCM pale Morogoro road wajifunze mambo mbalimbali ya kimaendeleo
Nani alikuambia uvccm walijenga au walitafuta hili jengo wao?
haya ni yale majengo waliyopewa wakati wa chama kimoja na baada ya mfumo wa vyama vingi haya majengo yalitakiwa yarejeshwe serikali!
Kaangalie mkataba wa kifisadi uliongiwa wa kujenga lile jengo kati ya ccm na Patel, unaweza kuzirai kama sio kufa kabisa!
 
Back
Top Bottom