Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,740
- 121,792
Wanabodi,
Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, presenter sio public speaker!. Kuwa Professor mzuri anaeifundisha economics darasani na kwenye lecture theater, hakumfanyi kuwa presenter mzuri kwenye general public.
The same applies kwa mwandishi mzuri wa presentation anaweza asiwe the best kwenye presentation. Muwasilisha mada alianza kama ama anaogopa, anatetemeka as if yuko very unsure na anachowasilisha, as if he was just paying lip services kutimiza wajibu wake kwa the one he who pays the piper may call the tune, so presenter was just dancing to the tunes of whoever call the shots kwa kusema kile aliyemtuma na aliyemlipa angependa kusikia!.
Nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeke! ,kusema jambo la ajabu kabisa! ,etc, haya sio maneno ya professional presenter ni maneno ya sensationalist presenter.
Nijuavyo mimi Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa presenter ku present the facts only, opinions of the presenter should be kept aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.
Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!" au kwa vile ni professional presentation done to the politicians hivyo sensationalism inaruhusiwa to add more flavor for political capitalization to impress the boss?!.
Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news story. Tunasisitizwa keep your opinions to yourself, kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.
We just need hard facts only kuhusu makinikia, halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations unless ni lecturing ad lib ili ku draw more attention!.
Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu solid, more concrete, kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.
Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu ndio hawa, then Tanzania we still have a long way to go kwa sababu hapa tulipo, bado we have a very serious problem!, hivyo huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi hali itakuwaje?. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua huo mchanga wetu tunazijua na tuna balozi zetu, tumeshindwa nini kuuliza bei ya mchanga, bei ya by products etc, kama tumeshindwa kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, kwa lidubwana kubwa contena lenye kitu solid easy to quantify, what about gesi ambayo ni hewa na inaweza kuwa siphoned huko huko underground kwa kutumia submarine pipes, tunauwezo gani kujua?.
Acacia ni listed company kwenye masoko ya hisa ya LSE na DSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi wetu waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.
Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutukokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .
Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kwa kuwatia hamasa ya uongo kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote hivyo kujenga too great expectations kuwa maadam tumshika mwishi wetu, hivyo sasa atatulipa matrilioni, kumbe ni uongo mtupu, kwa sababu halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!.
Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo tuliibonda humu kuwa sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza, matokeo, tusitegemee kupata kitu chochote cha maana mbele ya safari!. Utawezaji kudai kitu ambacho wewe mwenyewe umeshindwa ku quantify gharama halisi za ulichoibiwa?.
Uchunguzi wa hizi ripoti mbili umeonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo, viongozi wetu wanatoaje matumaini ya mihela hii kibao wakati hata hatuna uhakika wa kilichomo?.
A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mtuhumiwa mwizi wetu, Acacia to come clean, openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, Acacia inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.
Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mtuhumiwa mwizi wetu Acacia wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.
Paskali