Nimesikia tu kuwa kuna sera mpya ya elimu ambayo kwa sasa wanadau wanaipitia.
Swali langu je sera hii inapatikana wapi? Je, kuna forum yoyote inayoijadili?
Au ndio mnaini ninyi mlio serikalini...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imekuja na mpango wa "BIMA YA AFYA KWA WOTE" dhamira ya serikali endapo sheria ya bima ya afya kwa wote itapitishwa ni kuhakikisha wananchi...
Kwa Miongo kadhaa Tanzania kama nchi inayojitegemea, inapiga hatua kwa mwendo wa kobe.
Kuna mambo ukiangalia ni aibu sana, yani mpaka leo hii tunahangaika na mashimo ya choo, madawati, na vitu...
Kila nchi duniani kote kwa sasa inapambana kivyake kulinda Uchumi wake na hata misaada ya sasa ni ile ya " Nipe Nikupe"
Tozo haziepukiki ila zinaweza kuwa na madhara ya muda mrefu kwa chama...
Ukweli ni kwamba tuna aina ya upinzani dhaifu sana katika nchi yetu, upinzani ambao huoni mwelekeo wake katika siku za hivi karibuni ama siku nyingi zijazo.
Jambo hili linaniumiza sana moyo wangu...
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilbroad Mutafungwa amesema ndani ya muda huo jumla ya ajali 1,177 zilitokea huku 135 zikiwa za magari ya Serikali ambayo ni sawa na 11.5% kwa...
Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT.
Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania.
Uchumi wa Tanzania utafaidika...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshuku mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya majambazi wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, kikitoa hoja nne kuthibitisha mashaka yake...
MAHAKAMA YA RUFANI: CMA HAINA MAMLAKA WAFANYAKAZI WA UMMA
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imesema Tume ya Usuluhishi ya wafanyakazi (Commission for Mediation and Arbitration-CMA) haina mamlaka ya...
Wadau nawasabahi Hakika Sikutarajia kusikia Kauli kama hii ktk Awamu ya 6. Kauli hizi zilikuwa ni za kawaida sana kipindi cha Awamu ya 5 naona kumbe bado wapo Vijana Wahuni ndani ya CCM kama...
Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini.
Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo...
Sasa ndio wanaombana Yoweri Museveni kama kwamba upembuzi yakinifu umefanyika Jana
Nakumbuka utiaji saini pale Tanga uliendana na Upatanisho wa vijana wawili Ruge Mutahaba rip na RC mstaafu Paul...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mmoja wa wawakilishi wa Chadema kwenye Mazungumzo ya Maridhiano , John Heche , Amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu...
Hili jambo nimeliongea mara kadhaa huko nyuma na leo napenda kuliriudia kwani ni kikwazo kwa watu katika kujitafutia maendeledo yao na pia katika kutatua changamato zao za kifedha.
Kwa wasiolewa...
YERICKO NYERERE, KISHAURI CHAMA CHENU KIJENGE HATA OFISI, MAMBO YA NCHI HUYAWEZI
Na Mzabibu Mwitu
Nimeona andiko la Kamanda wa Chadema, Yericko Nyerere akimnanga Waziri wa Fedha, Dkt Mwigulu...
Wanasheria nchini wamegawanyika kuhusu ulazima wa Tanzania kuendelea kuwa na sheria ya uchawi au la. Wakati wengine wakidai sheria hiyo haihitajiki katika zama hizi za sayansi na teknolojia...
Hayati Magufuli akiwa kama rais wa nchi alileta mabadiliko makubwa juu ya ukusanyaji mapato kwenye taifa letu. Pesa nyingi ilikuwa ikipotea mikononi mwa watu wachache. Akaamuru mapato yote yawe...
Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wakidai inashindwa kutekeleza majukumu...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani...