Kwa sasa Afrika inaagiza Chakula kutoka nje ya bara la Afrika Chenye thamani ya USD 35 bilioni kwa mwaka, na kufikia Mwaka 2025 Afrika itakuwa inaagiza nje chakula cha thamani ya USD 110 bilioni...
Hili swala linafikirisha..
Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ametoka hadharani na kutetea sera za Uchumi za Serikali yake zilizowasilishwa na Waziri wake wa Fedha Kwasi Kwarteng..
Kwarteng...
Kundi la vijana wanaojulikana kama Panya road' limekuwa ni tishio kwa wananchi kwa siku za hivi karibuni!
Vijana hawa wamekuwa wakitishia usalama wa jamii na hata kufanya mauwaji mbalimbali kwa...
Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani.
Utafiti huo wa Repoa...
Nyumba la Taifa (NHC) ujulikanao Samia Housing Scheme (SHS) wa nyumba 5000 pekee unatarajiwa kutoa ajira zipatazo 26,400(direct 17,600 na indirect 8,800), taarifa hiyo imetolewa na Meneja Habari...
Watumiaji wa gesi asilia kwenye magari wako njia panda kwa siku ya SIku 5 sasa baada ya kukosa huduma hiyo tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.
Uchunguzi umebaini kuwa mashine ya mgandamizo...
Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana.
Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo...
Utafiti wa Taasisi ya Utafiti REPOA unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani.
Utafiti huo umeonesha kuwa...
Nimetoka kutazama kipindi cha Malumbano ya Hoja kinachorushwa mubashara na ITV
Mada ilihusu Mfumuko wa Bei za bidhaa na Chakula nini kifanyike?
Utata ukaibuka kwamba Vita ya Russia na Ukraine...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amepokea vifaa mbalimbali vya Afya kutoka kwa Shirika la Lion Club...
Ni kauli ya Mhandisi majengo kutoka Chuo cha Ardhi. Anasema kibanda cha walinzi kina kanuni zake za ujenzi kwa sababu ni ofisi ya walinzi wenye silaha.
Amesisitiza Tsh. 11 milioni ni ndogo...
Kuna baadhi ya maeneo tena mengi tu nampinga Rais Putin wa Russia lakini jambo moja nililo na hakika nalo ataleta ukombozi Kutoka minyororo ya Ukoloni mamboleo
Nchi nyingi za Africa haziko huru...
Wanabodi,
Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa...
UTEUZI WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA.
Orodha ya majina ya walioteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CCM wilaya kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo...
Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje...
Kumbe Kenya Wana mzigo wana mzigo wa madeni na wanatumia 63% ya bajeti yake kulipa demi la taifa
Lumber Kenya Wana mfumuko mkubwa wa Bei za chakula na bidhaa
Hatimaye serikali ya Kenya imeamua...
Mindset ya Mwigulu Nchemba imejikita Sana kuvuna kwa nguvu kutoka kwa wananchi asichopanda badala ya kuplan kitu kinachoweza kuwasaidia wananchi huku Serikali ikivuna.
Pamoja na MAJIBU MEPESI ya Waziri wa Fedha juu ya Suala la Serikali kusamehe Kodi ya Tril.360 zilizokuwa inadaiwa Kampuni ya Barrick Binafsi naona Bado kuna haja ya Kuendelea Kujadili ili tujue...