Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 4, 2026, amesema;
"Tume imeshindwa kabisa kusema chochote juu ya nani aliwaua...
Nafikiri watu wengi mnakumbuka yule mwandishi wa habari miaka ya themanini na tisini marehemu stan Katabaro,alikuwa ni mwandishi mahiri kwa miaka ya leo hana tofauti na Saed Kubenea,Johnson...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo (Bara), Isihaka Mchinjita, amesema msimamo wa Kamati Kuu ya chama hicho kuendelea kuikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, akidai kuwa imeundwa...
Makamu Mwenyekiti wa ACT wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 4, 2026, ameeleza kuwa tume ya kuchunguza matukio ya wakati na baada ya uchaguzi Mkuu 2025...
Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha,ndo ninavyoweza kusema kwani hata kipindi akina Nyelele wanapigania uhuru baadhi ya Watanganyika waliwaona kama wana fujo kwani walikuwa wananufaika na uwepo wa...
https://youtu.be/G7NseGbdVVM
Kamati Kuu ya ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao cha dharura kilichofanyika jana tarehe 03 Mei, 2026 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la...
Inawezekana hili hulijui na ndio maana nimekusanua, nafahamu kwamba una mipango mingi sana ya Ulaya na Marekani, Makonda atakuponza uonekane ndiye unafadhili Mauaji anayofanya
Jiepushe na Mtu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya...
CCM imepagawa na uchaguzi mkuu mwakani.. Bado haijiamini licha ya kufanya maandalizi mengi ya mbinu chafu kushinda
CCM na viongozi wake wote wanatambua hawapendwi kabisa Tanganyika na huko...
Ukisoma vizuri Katiba utaelewa ninachosema
Mfumo wa vyama vingi (Ibara ya 10 ya Katiba) unaruhusu vyama kushiriki uchaguzi, lakini chama kinachoshinda ndicho kinaunda serikali. Rais, akiwa...
Natoa angalizo. Haya yanayoendelea ni dalili mbaya sana. Public figure internationally kama Tundu Lissu analetwa mahakamani kimya kimya!
Ifunguliwe kesi Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu...
“Ezulwini Palazzo” is the newest luxury and biggest tourism attraction infrastructure constructed by a company under Inyatsi Group after being contracted by the Eswatini Government.
South African...
Kama ilivyo ada hapa jamvini kupashana habari moto moto zinazojiri nchini, leo kuna mabadiliko mapya kwenye moja ya Taasisi nyeti za Serikali.
Taarifa iliyotolewa leo Tarehe 3 Mei, 2026 na...
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe.
Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai...
Kwanza nakupongeza kuandaa concert ya maana kwa ajili ya MwanaChadema Prof Jay.
Nilikuwa nije Dar ili niweze kuhudhuria . Kuna dharula ilitokea na nikafika dar nimechelewa sana. Hivyo sikuweza...
Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu.
Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako...