Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour, akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na ’Landcruiser Nyeupe’

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
775
Reaction score
2,540
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe.

Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu waliokataa kujitambulisha, na kumpeleka kusikofahamika.

“Wameondoka naye hatujui kapelekwa wapi. Wametoka huko watu saba wakaja,mimi nashangaa watu wanakimbia mvua au wanakimbia nini? Moja kwa moja wanamfuata Damur na mimi nimekuwa hapa. Wakamshika, wawili wanamshika na mmoja akatoa pingu mfukoni akamfunga. Nikauliza kuna nini [wakasema] tutajua huko huko, nyie nani? Wakasema tutajuana huko huko,” anaeleza Lilian Swai mama wa Damour.

“Kwa hiyo wakambeba watu watatu wakamshika, wakambeba wakamburuza mpaka kwenye gari. Mimi nikawa nataka kuingia na yeye huko, wananivuta wakanitoa nje.”

Mama ae

Mama aeleze pia na shughuli za Mwanaye, isije kuwa Tu tunalalamika lakini ukweli hausemwi
 
Nchi yetu hii daaah

2019 mpka 2022 vijana wengi wamepotea na kupatikana kwao ni ndoto

Kuna vijana 5 au 7 waliopoteaga k/koo walee daah mpaka huruma yaani

Ndugu zao walifatilia mpaka wakakata tamaa, nasikia baadhi yao walifanya tu misiba tu bila ya kupata chochote

Mzigo wa wazazi wanaopotelewa na watoto wao ni mzito sanaa yaani

M/Mungu naomba nilindie watoto wangu
 
Professor nani huyo?
Screenshot_20260502_184017_X.jpg

Niliiona huko X sijajua kama kuna ukweli au namna gani?

Yote kwa yote Mungu amsaidie arudi Salama salmini
 
Samuya utaendelea kuteka na kuua Watanganyika hadi lini? Damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 ulizokunywa hazijakata kiu yako tu?
 
Back
Top Bottom