Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), bado haujakamilika. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Hakika inashangaza sana Kuona Wimbi la Ubakaji wa viongozi wa dini Limekuwa kubwa kwa sasa. Je kama Mchungaji au Shehe anaweza kubaka mtoto wake, je anawabaka Watoto wangapi wa Waumini Wake...
1 Reactions
14 Replies
987 Views
Ni kama ndoto kwa wakazi wa Kigoma kilio cha muda mrefu kinaenda kuwa historia baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kuidhinisha pesa kwa ajili wa Ujenzi wa Barabara...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wizara ya Nishati imetangaza kuandaa kongamano la nishati safi ya kupikia yaani ‘Clean Cooking Conference’ ili kuchunguza vikwazo vinavyodumaza matumizi ya nishati za kisasa za kupikia. Kongamano...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Mifumo mingi sana ya KITEHAMA ya serikali ya TANZANIA ni majanga makubwa na inafanya kaz chini ya kiwango kabisa kuanzia mifumo ya malipo yan TRA ,mifumo ya malipo ya huduma , mifumo ya taarifa...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni hatua njema kuwa umeonekana umuhimu wa uchunguzi kuhusiana na kadhia ya Law School of Tanzania. Dk Mwakyembe kuongoza uchunguzi malalamiko mtihani Uanasheria "Hata hivyo kunahitajika tume...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwonekano wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Mtakuja iliyopo Wilaya ya Ruangwa ambayo imeshatumia Tsh. Milioni 75 hadi sasa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Vyama vya ushirikia vingi vilikufa kwa sababu ya kuwanyonya wakulima. Walikua wanajilipa mishahara mikubwa na marupurupu mengi kauli mbiu za siasa ni kilimo, kilimo ni uti wa mgongo, kilimo cha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Spika mstaafu Anne Makinda amesema matokeo ya sensa hiyo iliyofanyika Agosti 23 yatatangazwa mwisho wa mwezi huu na matokeo yatabandikwa kwenye...
1 Reactions
3 Replies
825 Views
Majangaa kweli inafika wakati Wananchi wanachoka na kuamuwa kujichukulia sheria mikononi mwao hatari kweli. Mungu atusaidie tuondokane na umasikini, njaa na maradhi amin.
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa...
24 Reactions
87 Replies
7K Views
Habari. Juzi kati nilikuwa nasoma na Kufasiri kitabu cha Karl Marx na Friedrich Engels, The Communist Manifesto. Kwenye kitabu hicho Marx anaeleza hatua hususa za ukuaji wa makabwela hadi kuja...
1 Reactions
79 Replies
5K Views
Akizungumza leo Oktoba 12, 2022 jijini Dar es Salaam Waziri wa Niashati, January Makamba amesema, “Kupika ni moja ya tukio pekee linalounganisha watu wa hali zote kuanzia wa juu, kati na chini...
1 Reactions
9 Replies
870 Views
Wanabodi, Sorry, this is a duplicate Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa? Paskali.
0 Reactions
7 Replies
835 Views
Ccm ni ile ileee... Ohhh ni ile ileee Kitengo ni kile kileeee ooh ni kilekileee Fikra ni zi zilee zileee ooh ni zilee zileee Chawa ni walee walee ooh ni walee walee Fitina ni zilee zileee ooh ni...
26 Reactions
94 Replies
7K Views
1. Tai huruka peke yao na kwenye anga la Juu - Hawaruki na shomoro, kunguru na ndege wengine wadogo. MAANA - Kaa mbali na watu wenye mawazo finyu, wale wanaokuangusha. Tai huruka pamoja na Tai...
24 Reactions
34 Replies
3K Views
Rais wa Kenya Dkt. Ruto amesema ukweli ni kwamba Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania Hivyo tutaondoa vikwazo ili biashara ifanyike kwa uzuri zaidi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu anaelekea kufanya ziara ya siku 3 mkoa wa Kigoma kwaajili ya kukagua shughuri mbali mbali za maendeleo. Sasa tuangalie maendeleo mbalimbali yaliyopelekwa na serikali katika...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Watanzania siku za karibuni wamekuwa more and more evi,more and more degenerate. Kuna matatizo makubwa sana ya wealth distribution. Watu wachache Ni matajiri na wengi ni maskini. Hivi ndio nchi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…