Tumeona siku za karibuni Makamba badala ya kujitika kutatua matatizo makubwa yaliyoko kwenye Wizara yake yanayolalamikiwa wa wananchi kila mahali ikiwemo tatizo la kukatika kwa umeme, kuchelewa...
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 uligubikwa na sintofahamu kubwa hadi kupelekea mchakato mzima kugubikwa na ukengemaji wa kuwaengua wagombea wa vyama mbadala na kuwapitisha wagombea wa CCM kwa...
Binafsi sijashangaa kabisa tukio la kuutangazia Umma matokeo ya Sensa kupitia mkutano wa hadhara
Mazoezi ya Sensa hugharamiwa na UN so kama Chenji imebaki na ikaingizwa kwenye Mzunguko wa Fedha...
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022...
Maoni haya yanawasilishwa kwa pamoja na taasisi zifuatazo;
1. Jamii Forums (JF)
2. Tanganyika Law Society (TLS)
3. Legal and Human Rights Centre (LHRC)
4. Tanzania Mobile Network Operators...
Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada.
October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi.
October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki...
Ni wazi matatizo yanayoikumbuka Tanzania kwa sasa ni matokeo ya Hayati Magufuli kuufifisha upinzani huku aliamini ni salama kwake hadi hapo angemaliza Utawala wake pasiwepo wa kumsumbua...
Nakumbuka Mwaka 1970 Wafanyakazi wa Shirika la reli waligoma kisa tu Viongozi walikuwa wanapata mkate wenye siagi na wao walikuwa wanakunywa chai na mkate. [emoji23][emoji23][emoji23] solution la...
Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion.
Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m =...
Nimepita Nsalaga hapa namuona Mr. Two Maarufu kama Sugu akiwa na kundi kubwa la Vijana wakiwa wamezingira gari huku wakimuita Mbunge, Mbunge, Mbunge.
Hata wale wenye bajaji zilizoandikwa Tulia...
Hivi angeitisha tu Press conference pale Ikulu kwa ajili ya kuutangazia umma kilichomo kwenye taarifa ya sensa akiambatana na maafisa wawili watatu wa takwimu na Msemaji wa ikulu KUNGEKUWA NA...
Let's assume kuwa SSH ana nia ya dhati ya kuiletea maendeleo Tanzania na anataka kumantain speed ya utekelezaji wa miradi kama kipindi cha mwendazake ila anakwamishwa na wasaidizi wake ikiwemo...
Mkuu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Aldin Mutembei, amesema, ziara ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaendeleza uhusiano kati ya nchi hizo...
Yule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndio walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndio anawazidi kwa akili zake...
Charles D. B. King - Wikipedia
TIL Former Liberian President, Charles King, is listed in the Guinness Book of Records for the most fraudulent election reported in history, having won the 1927...
Kuna wananchi wengi tu, maarifu na wasio maarufu, wanasiasa na wasio wanasiasa , wasomi na wasio wasomi n.k , n.k tumewahi kushauri serikali yetu hii mambo mengi ya msingi na ya kujenga katika...
Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni.
Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa...
TAARIFA KWA UMMAH
Leo Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Arusha Mjini imekaa kwa madhumuni ya kuwachagua wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Arusha.
Naiona hila, upambe na maelekezo ya GAMBO, KATIBU WA...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.
Kama watanzania tunadhani ni viongozi...
Pamekuwepo na malalamiko kwanini kila Mwaka kunakuwa na michango ya Ujenzi wa madarasa na Ununuzi wa Madawati.
Binafsi nilishangaa mwaka 1977 nilichangia Ujenzi wa madarasa pale Shule ya Msingi...