Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hello Jf Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death! Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE...
84 Reactions
245 Replies
25K Views
Nani Mtetezi Wa kweli Wa yatima na mnyonge kwenye elimu ya Yetu. Anayeweka mfumo Wa electroniki unayohitaji documents Ili yatima apate mkopo. Au anayeanzisha scholarship Kwa jina la Raisi"Samia...
0 Reactions
2 Replies
774 Views
Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo...
2 Reactions
8 Replies
914 Views
Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za...
1 Reactions
65 Replies
3K Views
Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Anachokifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa watumishi wa umma na wengine, hakiwezi kupita bila kuungwa mkono. Rais Samia amefanya mambo makubwa...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
HAWA NDIO WATU WATANO WANAOUNDA KUNDI LA "WANAMTANDAO" Asalaam aleykum, Tumsifu Yesu Kristo, Wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu marhaba. Nichukue fursa hii kuwashukuru wasomaji wa...
31 Reactions
82 Replies
13K Views
Ijumaa, Oktoba 28, 2022 Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kitazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ya uzinduzi itafanyika Oktoba 30...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Kuanzia tarehe 28/08/2020 vyama vyama siasa nchini vilianza mikutano ya ufunguzi wa kampeni zake za kunadi wagombea Urais na ilani zitakozowaongoza katika kuwashawishi wapiga kura. Chama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilianza kumfuatilia sana huyu mwamba nilipoona jina lake limeshika kasi, barabara za mikoani kwenye mawe makubwa na miti mikubwa waliandika jina la mwigulu wakimtaja kama Rais ajaye! binafsi...
3 Reactions
17 Replies
717 Views
Wakuu, Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili. ======== UPDATE: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa...
16 Reactions
157 Replies
21K Views
Unapokuwa chawa wa mwanasiasa ni kwamba huyo Boss wako unamfanya kuwa mungu wako na automatically unakuwa umevunja amri ya kwanza ya Mungu wa mbinguni isemayo "Mimi ndimi Bwana Mungu wako usiwe na...
2 Reactions
15 Replies
797 Views
Kuna mtu kanitonya yuko jikoni kiasi kwamba Sherehe ya jana bajeti ni Billon 6 sasa zimetumika tumika vipi mimi sijui ila hio ndio bajeti ndio pesa zimeteketezwa jana tu kwa masaaa kadhaaa, huku...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda. Prof. Mkenda ameituhumu...
5 Reactions
37 Replies
6K Views
Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7...
10 Reactions
127 Replies
13K Views
Habari wakuu, Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema...
2 Reactions
122 Replies
10K Views
Kuwa mbunge na Waziri Kwa miaka mingi, sio hoja! Hoja ni nini umefanya katka nafasi zako hizo? Una record zipi ktk kulitumikia Taifa na hata upewe nafasi ya juu zaidi.? Tuweni wakweli tu, Mh...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau nimeshangazwa na nguvu kubwa ya bunge iliyotumika jana kwenye suala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu Suala la maji na umeme binafsi naliona ni tatizo kubwa ambalo linawakabili...
1 Reactions
0 Replies
401 Views
Kuna Wangu wanajiita ni Wabunge wa Chadema ambao chadema haiwatambui. Wabunge hao wanaotakiwa kutimuliwa bungeni ni Halima Mdee, Esther Matiko, Grace Tendega, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnes...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamaa mara baada ya kuwachanachana CCM, saa saba za mchana siku hiyo ya tarehe 7/9/2017 akapigwa risasi mchana kweupe. Mungu Mwenyezi alimnusuru na kifo yu hai leo, bila shaka huyu ndiye Rais...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa mfano mzee JK bado ana nguvu basi alipenda kugombea Urais wa JMT aruhusiwe Netanyahu ameshahudumu kwa miaka 15 kama Waziri mkuu wa Israel na sasa anagombea tena Mungu wa mbinguni awabariki...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…