Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na...
Itoshe tu kuwapongeza Wabunge wote kwa kazi nzuri mliyofanya Jumamosi ya leo
Pongezi za pekee zimuendee Spika Tulia
Pongezi za pili zimuendee Dr Ndugulile kwa kumsaidia ushauri wa kitaalamu...
Wote tunajua Luhaga Mpina aliwahi kuwa Waziri wa Jamhuri ya Muungqno wa Tanzania, pamoja na yote watu wengi aliwaumiza kupitia uvuvi kwa kupima samaki wa rula, binafisi mimi ninamsamehe na naona...
Nachukua fursa hii kuipongeza sana awamu ya 6 kwa kuamua kuruhusu mijadala huru ya kuikosoa serikali.
Tunakumbuka awamu ya 5 wabunge wote hawakuwa na sauti ya kuisema serikali zaidi ya kusifia...
Wakati Bunge likijadili ripoti za kamati za Bunge kuhusu ubadhirifu uliofanywa na baadhi ya watendaji katika miradi mikubwa. Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga ameishukia Mamlaka ya...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yateketeza bidhaa zenye thamani ya takribani Sh Milioni 400 bidhaa hizo hazikidhi Viwango vya ubora na kuisha Muda wake wa matumizi. Kwa upande wa Vipodozi ni...
Mbunge wa Sengerema mh Tabasamu amesema hii nchi ngumu sana hivyo ni lazima bunge litunge sheria kali za kuwabana Watendaji wa Serikali wenye utovu wa maadili
Tabasamu amesema tulipofika sasa...
Hatimae Ile KESI ya HALIMA MDEE na Wenzake 18 inaendelea.Baada ya Husrat Hanje kuhojiwa Jana na Mawakili wa Chadema na Kudai kuwa Fomu ya Ubunge alipelekewa na MH.John Mnyika akiwa Gerezani na...
Mara kadhaa, watu mbalimbali wamekuwa wakihoji uwezo wa TBS katika kuhakikisha ubora wa viwango vya bidhaa wanazopewa Watanzania.
Kuhusu TBS, mara kadhaa, tumeuliza:
1) Je, haina utalaam?
2)...
Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao...
Uamuzi wa serikali wa kuweka malengo ya kuufanya Mkoa wa Kigoma kuwa wa kimkakati, kiuwekezaji na kibiashara, unastahili kuungwa mkono na Watanzania wote kwa kuwa umelenga kukuza uchumi.
Rais...
Dr Kigwangala ameshauri serikali inunue mikongo ya mawasiliano inayomilikiwa na Watu binafsi na iimiliki kwa sababu za kiusalama
Naibu waziri wa mawasiliano amesema mikongo yote ni mali ya...
Watanzania lazima watambue chochote kinachofanywa na Mh Rais ni kwa manufaa ya Watanzania, hivyo kila Mtanzania ana wajibu wa kuunga mkono juhudi hizi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
SHAKA: RAIS SAMIA AMEFUNGUA MATUMAINI MAPYA, FURAHA KWA WATANZANIA
Dar es Salaam
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka...
Rais Samia Suluhu alisema kuna asilimia 12 ya vijana hawana ajira na yeye yupo kazini ya kuhakikisha asilimia hii ya vijana wanapata ujuzi na wananjiajiri haya yalisema alipokua anazindua chuo cha...
Leo mbunge Waitara amewashukia naibu Waziri maliasili na Waziri wa ardhi na kuwalaumu kumtegea mabomu njiani. Waitara amesema wahusika wameenda jimboni kwake na kudai wamemshirikisha eneo la...
Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na...
Team, Hi!
Bunge letu linaendelea lkn kinachonishangaza ni hiki - kwa nini vitu katika ukumbi wa mikutano vinaonekana vitupu?
(a). Wabunge wanadoji vikao?
(b). Wabunge wengi wana kazi za nje ya...
Ninaona clip za baadhi ya wabunge insta wakichangia kuhusu ufisadi.Inasikitisha sana.
Nimemsikia mbunge mmoja akitaka list of shame ya taasisi za umma iandikwe.
Kweli niliposikia kuhusu bima ya...
29 October 2022
Dar es Salaam, Tanzania
RC MAKALLA ATOA ONYO ENEO HILI LA MUHIMBILI HOSPITALI |MWISHO LEO KUFANYIKA BIASHARA
Source : Dar es Salaam RS Digital
More info :
October 31, 2022...