Ninaona clip za baadhi ya wabunge insta wakichangia kuhusu ufisadi.Inasikitisha sana.
Nimemsikia mbunge mmoja akitaka list of shame ya taasisi za umma iandikwe.
Kweli niliposikia kuhusu bima ya afya,wala sijashtuka kabisa.Huu ni mfuko ambao hauwezi kufikisika.Ukifilisika basi ujue kuna wizi uliokithiri kwa viongozi wa mfuko huu.Maana umewahi kudhulumu vituo vya huduma pesa nyingi sana.
Kuna kituo kimoja tu pale nzega kwa mwezi mmoja walidhulumiwa zaidi ya 18M.
Sijui kwa nini wana ujasiri wa kufanya mambo haya.
Nadhani imefika muda waanze kupiga wezi hawa risasi kama nguruwe