Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,791
- 34,792
Nimewahi kusema hawa wanamama 19 ni wanamama wa shoka, Wana akili sana, ujasiri, hoja za nguvu ma sikuona ndani ya chadema mwenye uwezo wa kushindana nao popote pale.
Baada ya Nusrat Hanje kuwabwaga chadema, nilikua wengine ingekuwa ngumu kwao. Ila ndio hivyo tena sasa hivi chadema ni Kama mwembe wa uani, wanatingisha tu wanajiokotea dodo.
Cecilia Pareso ni mwanamama makini mno, amewabana na kuwachachafya chadema kila angle. Bado najiuliza mwanamama kama huyu bado wapo? Mama Samia ikikupendeza tunaomba huyu apate nafasi serikalini.
Kuwaacha nje ya serikali mwanamama kama huyu ni sawa kuikacha dhahabu. Anajiamini, mwerevu na mjenga hoja.
Mwenye background zaidi ya huyu mwanamama naiomba, nimevutiwa mno na akili alizonazo