Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mzee wangu, kuomba radhi unapokuwa umeteleza kidogo ni uungwana. Toka hadharani uombe radhi wewe mwenyewe kwa kinywa chako kabla mambo hayajaharibika kabisa. Kuuambia umma kwamba Viongozi wazuri...
13 Reactions
49 Replies
4K Views
Ni Jambo jema kuona CCM inaamini Katika Mungu mmoja Nafsi Tatu Mungu ni Mwema wakati Wote Basi, Àkubarikini Mungu Mwenyezi Baba na Mwana na Roho Mtakatifu Nawatakia Sabato yenye Baraka
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764...
24 Reactions
95 Replies
9K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda apangua hoja KM wa CCM kuwa yeye ni mzigo!. Upanguzi huo umefanyika bungeni leo asubuhi wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambapo aliulizwa...
8 Reactions
93 Replies
10K Views
Mzee Makamba amesema Baada ya Shekifu kustaafu Tanga sasa imepata Nahodha mpya wa kukuingiza chama ambaye ni Mganga wa Kienyeji bwana Rajabu Mzee Makamba amesema Wana Imani na Nahodha mpya wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilishauri haya mwaka jana lakini naona kama Raisi anachukulia ukarimu wa Mbowe vibaya na kumweka kwenye wakati mgumu kwa kukaa mwaka mzima bila kuanza mchakato wa katiba. Jaji Mutungi hakuna mtu...
20 Reactions
63 Replies
5K Views
Ni Katika mazungumzo kuhusiana na Siku ya Uhuru wa Tanganyika Baadhi ya Watu wanadai CCM ya 2025 itakuwa mpya kabisa na mlango umeshafunguliwa na Bashungwa aliyeshika namba 2 kwenye Nec...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo nimeona mahojiano yenye ya mwandishi Livingstone Ruhere na Jenerali Tumaniel Kiwelu kwenye gazeti la Raia Mwema la jana ambae anaweza kuileta hapa naomba afanye hivyo kwa faida ya wana JF na...
39 Reactions
178 Replies
51K Views
Hiki chama unafiki,hira,chuki na Majungu ndio mpango mzima Fikira Ndugai alivyopewa za uso,japo aliomba na msamaha lakini alikutana na mashambulizi makali ya chawa wa rais Samia. Bashiru Ali nae...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za mapumziko wana jamvi Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti...
1 Reactions
2 Replies
888 Views
1. Kikwete 2. Kinana 3. Makamba 4. Rostam Aziz 5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec. Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Wadau nawasalimu, Pamoja na Rais kusema Mzee Makamba ulimi uliteleza binafsi siamini hivyo, kwani huyu Mzee kabla ya kuyazungumza hayo ndani ya kikao alipokuwa nje ya ukumbi aliropoka mambo mengi...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimefanya research karibia wote vijana wanakimbizana kuchukua kadi za ccm halafu tunasema mabadiliko yanaanza na vijana. Huu upuuzi chanzo chake nini ebu tujadili mbona hii nchi kama imelaanika...
23 Reactions
62 Replies
3K Views
Ni mjinga tu atakayesikitika kuondokewa na Dr Mollel, Bulaya, Mwita Waitara, Patrobas Katambi, Cecil Mwambe nk nk hapo Chadema. Ni mjinga tu atakayesikitika Dr Bashiru kumrejesha CCM mzee Lowassa...
3 Reactions
5 Replies
746 Views
Kaomba radhi i kupitia mtandao wa twitter akimjibu mdau mmoja aliemuhoji kuhusu kauli aliyowahi kuitoa kuwa atamuua mtu yoyote atakaeua twiga. Tweet yake ya kuomba radhi hii hapa chini...
1 Reactions
1 Replies
953 Views
Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao. Lakini wewe na January mmekata umeme. Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru. Watu wapo nyumbani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa! Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini! Kwa Yale...
21 Reactions
46 Replies
6K Views
Tanganyika ipo wapi? Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia? Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki...
0 Reactions
3 Replies
545 Views
Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii. Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu. Kuna mtu alifananishwa na Mungu...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo ikiwa tunasherekea miaka 61 ya uhuru tunajivuni uhuru uliodumu kwa miaka 61 bila kuupoteza Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kuwa na amani upendo na ushilikiano ukilinganisha na nchi zingine...
0 Reactions
2 Replies
492 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…