Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)...
ZOEZI la ugawaji wa mahindi ya msaada limeonekana kulalamikiwa sana na wananchi wengi hasa wa vijiji walilaumu mfumo wa kuyafuata mahindi hayo ama makao makuu ya wilaya au makao makuu ya Kata na...
Tunapoelekea kufunga mwaka 2022, ubalozi wa Tanzania China unatoa shukrani za dhati kwa wadau mbalimbali kwa ushirikiano wao uliowezesha utekelezaji wa Majukumu ya Ubalozi. Katika Mwaka 2022 mambo...
Toka mzee wetu azaliwe na kubahatika kumpata mke wa kwanza wa kumtunza Februari 5, 1977 na kuwa mama wa Watanzania wote bara na visiwani kwa miaka mingi, hatimaye mwaka 1992, mzee kwa kushirikiana...
Msemaji wa ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu amesema 2022 hali ya maisha imekuwa ngumu lakini ugumu huu utaongezeka zaidi na zaidi mwaka 2023.
Dorothy ameitaka serikali kuja na Mpango mkakati wa...
Wakati kikosi kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kikipendekeza ukomo wa muda wa ubunge wa Viti Maalumu, Mbunge wa zamani wa nafasi hiyo, Sophia Simba ameeleza ugumu wa utekelezwaji wa...
Miongoni mwa mambo yaliyowahi kuniumiza kwenye hizi Siasa zetu ni pamoja na kitendo cha Spika Job kumvua Ubunge mh Tundu Antipas Lisu huku akijua Kabisa TAL ni mgonjwa na alipigwa Risasi akitoka...
Sote ni mashahidi wa Juhudi Kubwa unazoendelea kuzifanya kuboresha Elimu yetu ikiwemo suala la kuboresha miundombinu ya Shule, Maabara na vitendea kazi.
Hivi karibu Serikali imetoa Fedha kwaajili...
Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi.
Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka...
Hongera Rais , kwa kuamua kulipa haki zao stahiki Mungu akubaliki sana . Katika hotuba yake leo amesema watumishi wa darasa la na vyeti feki walikuwa wakichangia mifuko ya hifadhi ya jamii hivyo...
Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO ameowaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe wilayani Wanging’ombe kufuatia kucheleweshwa kwa mradi wa maji waliousubiri kwa muda...
Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika?
1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana...
Hotuba ya Waziri Mkuu Kivuli juu ya miezi 10 ya Kamati ya kuisimamia Serikali ya ACT Wazalendo;
Mwaka wa misukosuko; chungu kwa wanyonge, raha kwa vibonge.
1. Utangulizi
Mnaelewa kuwa tupo...
Kuna mdau wangu anafanya kazi KIA kitengo fulani, amenitonya kwamba ile ndege ni kweli ilishusha mizigo mingi sana ya Mwarabu yakiwemo Magari na vitu vingine, Ila Pia kuna Mabox yalipakiwa na...
NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA
Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya...
Kitendo cha Televisheni ya Kimataifa ya CGTN Africa kuacha kumpa nafasi Waziri Januari Makamba kwenye ripoti yao kuhusu Bwawa la Nyerere ina maana gani?
Pascal Mayalla hii kitaalam mnaitaje...
Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani...
Mtihani kwa mwanadamu ni kawaida sana hapa duniani.
Kwa upande wa wanachama wa Chadema mwaka huu tunao umaliza tuligubikwa na majonzi makuu.
Kiongozi wetu mkuu wa chama mh Mbowe alisota sana...
KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata...