Hivi ccm inaweza kutoka madarakani? na kama ikitoka ni lini? Nakili kusema ccm kuitoa kupitia Sanduku la maoni tusahau na tusifikiri hata kidogo yaani sio leo wala kesho kwa ccm hii kutoka...
Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii tofauti wamemtaka Msanii na Mfanyabiashara Nasibi Abdul almaarufu Diamond Platnumz kulipa Kodi na sio kuleta janja janja.
Wakitoa maoni katika kurasa...
Nimesoma quote ya mtu mmoja hapa jf, imenifurahisha sana. Ni kuhusu sakata la Diamond na TRA. Ni ukweli usiopingika mfumo wa ulipaji Kodi Tanzania bado ni changamoto. Hii efilling system ina...
Mama, hawa ndio wanadamu, ulikopa ili mzigo wa Kodi usiwe mkubwa kuhudumia maendelea, angalau uu-suspend kwa muda au Kwa vijikodi vidogo vidogo, tuhudumie mikopo ya muda mrefu, kuliko kutulima...
Amesikika Waziri Ummy akidai wadau wanataka bima ya afya kuwa lazima.
Amekwenda mbali kuonesha wastani wa mapato ya chini ya mtanzania kuwa 137,000/- kwa mwezi. Ingependeza tukajua wastani wa...
Ndugu zanguni Watanzania, bado muda mfupi kuingia mwaka mpya wa 2023.
Bila shaka kila Mtanzania anaweza kukubaliana na mimi kwamba, huko nyuma sisi kama Watanzania kwa ujumla wetu tukianza na mtu...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni...
Tuseme ukweli tu,hii nchi bado makusanyo ya mapato yako chini sana japo, serikali inajitahidi kuyaongeza.
Ifike mahali Bunge litimize majukumu yake katika kuishauri Serikali itakayokuwepo...
Maafisa Habari waliajiriwa kwa ajili ya kuunga daraja la mawasiliano kati ya serikali na wananchi. Inafikia miaka mitano mtandao rasmi hauna habari yoyote mpya.
Nadhani Sasa wawekewe malengo ya...
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka wanasiasa nchini kuacha kubeza na kupotosha jitihada zinazofanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za kukopa huku wakijua fika kwamba...
Habari za leo Wadau..
Serikali ya Tanzania imepata Mkopo wa Tshs.650 Bilioni kutoka kwa wadau mbalimba Kama WB na France Development Agency kwa ajili ya Mradi wa BRT Awamu ya 4 & 5..
Kwa Mujibu...
Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao
Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada...
Chakushauri tu nikuwa mkiishinda Tamaa mtakuwa mfano Kwa vyama vyote kusini mwa jangwa la Sahara ila mkiwa na Tamaa za kutaka kugombea nafasi za uongozi ifikapo 2025 bila katiba Mpya kwakujua mna...
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.
Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.
Ajira za serikali za...
Juzi wakati natafuta barua kwa ajili ya mwanangu kumtambulisha kwamba yeye ni mkazi halali wa kitongoji husika ili nipate tiketi kwa ajili ya usafiri wa treni, nilipofika kwa Mwenyekiti wa...
HILI suala la mikopo tusipoliangalia litugawa kama Taifa, alianza Ndugai tukaona ni utani akapoteza nafasi ya Uspika, akaja kulizungumzia bungeni Luhaga Mpina naye akapoteza nafasi ya kuteuliwa...
Wakuu
KIFO ndio fumbo pekee ambalo wanadamu tunaogopa. Watu hawaogopi tena kifungo cha Maisha jela wala faini zinazolipika.
ILI kuongeza tija kiutendaji na kuepuka ubadhirifu, wizi na UFISADI...
Ndugai alikuwa Spika wa kwanza kujiuzulu kama sijakosea, na alijiuzulu baada ya kuongea kitu kuhusu nchi kuuzwa kwa sababu ya madeni, nilipata wasiwasi kwamba kama upo chama kimoja na Rais basi...
Kesho ni sikukuu ya Noeli, siku maalum kwa wanadamu hasa kwa wenzetu wenye madhehebu ya kikristu duniani.
Nikiwa muumini wa kuona haki inatendeka kwa kila mwanadamu hasa hapa kwetu Tanzania...
Boarding Ethiopian Airlines flight ET 805 from Bole International Airport Addis Ababa to Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport now. Tukutane Dar in slightly over three hours. - Tundu...