Tanzania na Shirikisho la Urusi zimekubaliana kuimarisha ushirikiano kidigitali katika sekta za Uchumi na maendeleo ili kukuza maendeleo endelevu kwa manufaa ya wanandchi wa pande zote...
Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa iwapo Serikali haitakuwa tayari kuheshimu demokrasia, chama hicho kitachukua hatua za kuishinikiza Serikali.
Heche ameyasema hayo leo...
Isa 59:14-15
Na hukumu imegeuka ikaenda nyuma, na haki inasimama mbali sana; maana kweli imeanguka katika njia kuu, na unyofu hauwezi kuingia. Naam, kweli imepunguka kabisa, na yeye auachaye uovu...
Salam Wakuu,
Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga...
Kwa taarifa nilizokagua asubuhi ya leo, 1 Oktoba 2026, sijaona taarifa rasmi au ya kuaminika inayothibitisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan tayari ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha...
Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii,
I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and...
Mwanadada wa mapingili shingoni Out
Jeni wa kuhusu utaratibu wa muhaga maaaa Out
Ndumba Aroooo out
Wa ma mineral out
February mauzi out
Kwanini mtoto wa millet sioni jina
Tusubiri
Britanicca
Ni takribani mwezi mmoja tu tangu bwana Dangote alipotangaza kuwekeza mradi wake mkubwa wa takribani $16 bilioni nchini Kenya. Hayo yalijitokeza baada ya maneno ya rais wa Kenya kwamba...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema hadi sasa hajapokea malalamiko kutoka kwa madereva kuhusu kukatwa point kwenye leseni zao, na kuongeza kuwa endapo kuna dereva amekatwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema kuwa kasi ya ujenzi wa reli nchini imekuwa ndogo akilinganisha na kipindi cha utawala wa Wajerumani.
Heche...
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba...
Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru
Sasa hii hapa chini ni...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema atafuatilia kujua kilichotokea kuhusu mpango uliopendekezwa wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote (Dangote Oil Refinery) mjini Tanga...
Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti.
Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari...
▪️Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri...